CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Una kumbuka sakata LA Prof.Kapuya na kabinti ka kidato cha pili?Hao hao waliopitisha ndo watakuwa wa mwanzo kuivunja hiyo sheria na hamna lolote watakalofanywa
Ni sahihi mkuu kwann umendee videnti wakati wanawake above 18 age wapo weng tu mtaan wengine mpaka wanajiuza.Sasa ukimfunga miaka yote hiyo mtoto anakua bila baba: Mtoto huyo huyo atadhihakiwa na jamii kwa kutokuwa na baba na alivyopatikana (bastard?????). Pili malaezi/matunzo???? Hili lilihitaji mjadala mpana zaidi, sasa kwa vile wamebaki Ndioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo, ona maamuzi!