Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
UNA MIAKA 30? HII INAKUHUSU
Kwanza jua una miongo mitatu ( mafungu matatu ya miaka kumi kumi).
MUONGO WA KWANZA ( 0-10)
1. Hapa ulikuwa mtoto
2. Mwanzo wa shule ( kwa walioenda shule)
3. Hapa uliathiriwa sana na malezi ya walezi wako.
4. Ulitegemea kwa 100%.
MUONGO WA PILI ( 11-20)
1. Uliaga utoto ukiwa na miaka 18
2. Kuna ambao walikuwa shule na wengine tayari mtaani kujitafuta
3. Kikawaida hapa ni mwisho wa kutegemea kwa 100%.
MUONGO WA TATU( 21-30)
1. Hapa ni kujitafuta kwa 100%.
KWANINI MIAKA 30 HUTAKIWI KULALAMIKA KUNA WATU WANAZUIA MAFANIKIO YAKO?
Miaka kumi yote (21-30) unakubali tu kuzuiwa? Kama jibu ni ndiyo basi nawe unatakiwa ubadilike kimtizamo maana utaendelea kuzuiliwa mpaka unazeeka.
Fikia ndoto zako.
Mwanasayansi Saul kalivubha.