Miaka 30 ya bongo fleva mmewasahau kabisa watukutu na wagosi wakaya!

Mister mimi

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
358
Reaction score
649
Radha za ras simba,john mtembezi na wagosi zihusike.na wao pia wapate mgao wa keki za wachonga.

Waliotangulia mbele za haki tuwaenzi kama tulivofanya kwa man dojo na mangwair.tufanye pia kwa JOHN WOLKER na wachonga wengine.maana walituburudisha enzi zao

Pini kama
hupati kitu
Yaalah
Kero
Walimu
Traffic n.k
Ziongezwe kwenye playlist.
 
Watukutu amebakia Ras Lion peke yake, John worker alishafariki
 
Tanga Kunani napenda sana kuisikiliza inanikumbusha mambo mengi sana ,early 2000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…