johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Tuambie hao matajiri ccm wanapokea ruzuku shs ngapi manka, tulinganishe na hawa mafukaraMfumo wa vyama vingi vya Siasa unatimiza miaka 30 huku vyama vyote vikubwa vikielea katika dimbwi la umaskini kasoro CCM peke yake
CHADEMA na CUF wamekuwa wakipokea mabilioni ya tsh kila mwaka kama ruzuku lakini bado ni mafukara.
Je, kuna haja ya kuendelea kutoa ruzuku kwa Vyama vya siasa?
Ikumbukwe ruzuku ni kodi za Wananchi
Mfumo wa vyama vingi vya Siasa unatimiza miaka 30 huku vyama vyote vikubwa vikielea katika dimbwi la umaskini kasoro CCM peke yake
CHADEMA na CUF wamekuwa wakipokea mabilioni ya tsh kila mwaka kama ruzuku lakini bado ni mafukara.
Je, kuna haja ya kuendelea kutoa ruzuku kwa Vyama vya siasa?
Ikumbukwe ruzuku ni kodi za Wananchi
Naumga mkonoRuzuku na viti maalum vya ubunge ni vya kufutwa.
Watu wanafikiria uchaguzi mkuu wa 2025 kama Putin ataiacha Dunia salamaCcm hawa wanaotaka pesa za umma ili wakarabati viwanja walivyopora toka kwa wananchi?
Hivi ni vyama vya siasa vya watanzania. Watanzania ndio wanaovigharimia kupitia kodi zao. Viendelee kupewa ruzuku!!Mfumo wa vyama vingi vya Siasa unatimiza miaka 30 huku vyama vyote vikubwa vikielea katika dimbwi la umaskini kasoro CCM peke yake
CHADEMA na CUF wamekuwa wakipokea mabilioni ya tsh kila mwaka kama ruzuku lakini bado ni mafukara.
Je, kuna haja ya kuendelea kutoa ruzuku kwa Vyama vya siasa?
Ikumbukwe ruzuku ni kodi za Wananchi
Lini watanzania walisema kodi zao wapewe wanasiasa?Hi
Hivi ni vyama vya siasa vya watanzania. Watanzania ndio wanaovigharimia kupitia kodi zao. Viendelee kupewa ruzuku!!