Miaka 34+Sijui Kupenda ni nini?

Socialization ni tatizo hapo
Rafiki yangu amekuja kwangu Analalamika ,
anasema ana miaka 34 ila hajui kupenda ni nini?
yaani hajawai kumuona mtu anaempenda anaishi tu kama mtoto mdogo, umri wenyewe ndio huo.
mpeni ushauri huyu ndugu yangu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…