Miaka 4 ya Kwanza: Rais Magufuli - Kipimo Mara Mbili cha Ujasiri na Uthubutu

Ukiruhusiwa na ukapewa Kinga ufanye chochote (regardless legal or illegal) ili uendelee, naamini ndani ya mwaka mmoja tu unaweza kuwa Bilionea. Unaweza ukauza gongo, madawa ya kulevya, ukavamia na kuchukua mali yoyote ya mtu na kujimilikisha wewe, nk nk nk nk! Bahati mbaya sana Dunia ya namna hii inaweza kuleta fujo vurugu na machafuko.

Kiukweli ugumu wa kufanikiwa haupo kwenye ufanye nini ili ufanikiwe, bali ni kufanya hayo ndani ya "mipaka" iliyopo na "rasilimali zilizopo" na kisha ufanikiwe. Naamini utanielewa na uchambuzi wako hauna budi kuzingatia dhana hii.
 
Zipo wapi pesa za wamiliki wa maduka ya kubadili pesa za kigeni, yapo wapi madini pesa cash wanazozikamata live mipakani Airport Bandarini?
 
Mimi niwapongeze tu wote walioweza kusoma pumba lote hapo juu la mtu anayejitafutia kushibisha tumbo lake.

Yataka Moyo Sana Kujifyatua Akili
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataweza kuisoma story ndefu kiasi hicho, mtu pekee anaweza kukaa akasoma huo uzushi ni cyprian Musiba na Le mutuz vilaza wakubwa wa CCM
 
Umeongea ya Msingi sana ,tatizo lipo kwenye Katiba hasa Madaraka ya hawa Wakuu wa Nchi kuto shitakiwa.Tumepoteza zaidi Sababu alie shikilia kijiti aliwahi kutamka kuwa Katiba sio kipaumbele chake kabisa.

Mwafrika yeyeto asipowekewa mfumo Wa kumdhibiti ugeuka laana kwa anaowaongoza.
 
Mkoloni alifukuzwa na watawala ili wale matunda ya wakoloni huku wakiwaacha wengi kutopea kwenye ufukara
Sasa wapo wakoloni weusi wawili toka kolomije na chato Naibu Rais Daud Bashite na mtukufu malaika
 

Watawala Wa Africa wangekuwa wanaozea jela baada ya kustaafu Africa ingekuwa mbali Sana.Katiba uwaruhusu kuzigeuza nchi Mali zao
 
Sasa wapo wakoloni weusi wawili toka kolomije na chato Naibu Rais Daud Bashite na mtukufu malaika
Madaraka ni koti la kuazima chenye mwanzo kina mwisho aliyeelimika utazama kesho yake
 
Mwafrika yeyeto asipowekewa mfumo Wa kumdhibiti ugeuka laana kwa anaowaongoza.

Tatizo Mfumo una onekana kufanya Kazi kwa upande mmoja tu ,kwa Wakubwa hapana 😎
 
I second u
 
Inahitaji kuwa na akili za kibwege kama zako kupoteza mda kusoma utumbo wako ulioandka.Hatuhitaji rais muuaji, mtekaji na mwizi aliyejifunika uzalendo fake
 
Ujasiri na uthubutu wa kuharibu nchi, uchumi, mshikamano, biashara, siasa, mahusiano ya kimataifa, ajira, amani.
 
Jibu la hapa ni takataka tu umeandika yaani rubish

ukiangalia vile alivyojiimarisha kuijenga ccm kuliko nchi halafu ndo uniambie huyo ndo raisi bora ni takataka umeandika

Kila kitu kipo hovyo sana ndani ya nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…