Ankazominiotra
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 607
- 379
Point ya maana sana hii, na ni logic ya kawaida sana. Nashangaa watu hawayaoni haya.Ukiruhusiwa na ukapewa Kinga ufanye chochote (regardless legal or illegal) ili uendelee, naamini ndani ya mwaka mmoja tu unaweza kuwa Bilionea. Unaweza ukauza gongo, madawa ya kulevya, ukavamia na kuchukua mali yoyote ya mtu na kujimilikisha wewe, nk nk nk nk! Bahati mbaya sana Dunia ya namna hii inaweza kuleta fujo vurugu na machafuko.
Kiukweli ugumu wa kufanikiwa haupo kwenye ufanye nini ili ufanikiwe, bali ni kufanya hayo ndani ya "mipaka" iliyopo na "rasilimali zilizopo" na kisha ufanikiwe. Naamini utanielewa na uchambuzi wako hauna budi kuzingatia dhana hii.
Huyo ana hisa JF, Check email yake.Wewe mzee mbona unarudisha mada ile ile mara mbili?
Mod unganisha hii mada na ile ya kiingereza
Mzee Mwanakijiji hii mada ndefuuuuuu nimesoma kwa kuungunga weeeh
Any who......
Dah,kuna jamaa yangu aliathirika Sana na kufungiwa konyagi. Jamaa alikuwa ndo amenunua mzigo wa 700mil.Mzee Mwanakijiji
Nasubiri utakapo zungumzia vifo/Kupotea kw akina Mawazo, Anzory, Ben saanane na wengine wengi bila kusahau maiti z akwenye Viroba Ruvu na Oyster-bay beach.
Nasubiri utakapo tambua na kuzungumzia dhuluma zilizofanywa na TRA kwa wafanya bashara kwa amri zake na dharahu zake na sasaamejirudi na kujifanya sio yeye.
Nasubiri utakapozungumzia sukari 1800 na kwa amri zake na fujo leo sukari 2500.
Nasubiri utakapozungumzia waliofilisika na kujua kwa maamuzi ya gafla ya kufuta viroba(Konyagi) na kuacha kufuata mfumo bora makamba.
Nasubiri utakapuzungumzia uvunjwaji wa sheria na katiba, mahakama na bunge giza na udhalilishaji wa CAG.
Dah,kuna jamaa yangu aliathirika Sana na kufungiwa konyagi. Jamaa alikuwa ndo amenunua mzigo wa 700mil.