Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Upo vizuri mkuu na haujavunja vifungu vya katiba ya nchi katika umakini wa kipaumbele chako.Hongeren wenzetu kwa kupambana na ujenzi wa taifa kwakutafuta madolali,mautajir,maviwanda na magar sisi wengine tunatafuta izo mbweche bikra kwa udi na uvumba
Unataka uwaachie akina nani hao wenzako?Tutahakikisha mnafika Golgotha wote kwa umoja wenu.Nivuke kundi la 40s, limekuwa la wazee wa hovyo sana, huenda huko 50s nikakutana na wazee wenzangu wa busara😅😅
Au sio, kwa hiyo wote tumekuwa wazee wa hovyo?Unataka uwaachie akina nani hao wenzako?Tutahakikisha mnafika Golgotha wote kwa umoja wenu.
Yaani huyu mstaafu kabisa kwenye EPL, ila huku eti anasaka Bikra!42yrs una akili ya namna hii?
Waafrica mna matatizo sana
Kwamba mwanetu unakutana tu na bed to bed midfielders 😁Hongeren mashujaa kwakupata mashamba mapya hatakama yanavisiki ila kikubwa rutba zipo sisi wengine tunalimaga mashamba yenye migogoro,yaliukosa rutuba maana yamepigwa viwatilifu vingi
Mkuu hata mafurushi huzeeka.42yrs una akili ya namna hii?
Waafrica mna matatizo sana
Dah! nimebaki na maswali mengi sana kichwaniMkuu hata mafurushi huzeeka.
Hizo ni dalili za kuoa mke wa mtu. Kiuhalisia aliyevunja bikira ndiye bwana aliyeaminika.Hongereni wenzetu kwa kupata, kununua, kuzawadiwa hizo bikra mimi sasa nimekubuhu kwenye miskrepa, used, mitumba na nikisema niendelee kuzisaka nitaingia huko kwa vitoto vya darasa la 6, 5 nitafungwa.
AI BRAINLESS.Hongereni wenzetu kwa kupata, kununua, kuzawadiwa hizo bikra mimi sasa nimekubuhu kwenye miskrepa, used, mitumba na nikisema niendelee kuzisaka nitaingia huko kwa vitoto vya darasa la 6, 5 nitafungwa.
AiseeeeHongereni wenzetu kwa kupata, kununua, kuzawadiwa hizo bikra mimi sasa nimekubuhu kwenye miskrepa, used, mitumba na nikisema niendelee kuzisaka nitaingia huko kwa vitoto vya darasa la 6, 5 nitafungwa.
Wanga upi ni mzuri kwa afya ya mlaji tofauti na ugali?Daah Tanzania tuna shida sana aisee yaani mzazi wa 42 yrs anajisifia papuchi...
Ugali umetudumaza sana ubongo aisee..
Haha!!Break Pumbubreak mbupu
Yeah Ulaya au China mtu mwenye miaka 42 anaitwa Muwekezaji au Mkurugenzi wakati bongo mtu wa umri huo asubuhi yote hii anaweka makala ya kujisifu amechakata papuchi nyingi.42yrs una akili ya namna hii?
Waafrica mna matatizo sana