Miaka 45 ya ndoa, ukipata mtu sahihi ndoa inakua pepo ila ukikosea utaiona kama jahanamu

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Mpaka watu wameanza kampeini za "kataa ndoa" kwasababu ya changamoto wanazo kumbana nazo katika ndoa hususani kwa upande wa wanawake.

Ila kuna watu wameweza kuishi kwa ndoa miaka 45 bila shida na bado wanaendelea kuishi chukua mda wako upate mwenza wako sahihi hutajutia.
Screenshot_20250226-101741_Facebook.jpg
 
Ndoa ni kitu kizuri sana sana. Lengo lake likiwa kuishi kwa pamoja mkishare matamu na machungu, kupata uzao na kumtukuza Mungu wenu. SHIDA ilianza pale shetani alipoanza kuipiga vita ndoa. Zamani ilikuwa hakuna kitu kukosea kuchagua; watu walikutanishwa tu bila kuchaguana na waliishi vizuri sana. Baadae ikafuata bora uchague wa kufanana nae angalau mtaendana... vita vimepamba moto sasa imekuwa songombingo na kosovo la ndoa. Hata hivyo bado unaweza kusimama na kuchakura chakura kama kuku hadi umpate wa kuwezana. Nimeangalia hiyo picha.... nimewaza mengi sana
 
Ni kweli ndoa raha ukipata mtu sahihi ila kati ya 100 wanao weza kupata wake sahihi ni 2% tena kibaya zaidi ni wale masikini wakipato na shule ndogo na wanaishi vijijini, mjini ni suala la mda mke anabadilika anakua mbogo mujuaji mwenye kutaka haki mlembo loh mpaka unapata stress za bure.
 
Nyakati zimebadilika:
Wanamke aliye peak miaka ya 1970 sio mwanamke aliye peak kwa Sasa (2025), wametofautiana kuanzia viburi, upendo mpaka uhusiano wao na pesa

Mwanaume aliye peak 1970 sio sawa na wa sasa; wa Sasa anakabiliwa na mkandamizo mkubwa unaotokana na kuongezeka gharama za maisha wakati ujira wake umeporomoka maradufu
 
Mkuu ni kwako tu kuna watu pesa sio issue, issue ni kupata mke sahihi ambao ni adimu sanaaa.
 
Ni kweli ndoa raha ukipata mtu sahihi ila kati ya 100 wanao weza kupata wake sahihi ni 2% tena kibaya zaidi ni wale masikini wakipato na shule ndogo na wanaishi vijijini, mjini ni suala la mda mke anabadilika anakua mbogo mujuaji mwenye kutaka haki mlembo loh mpaka unapata stress za bure.

Ni kweli. lakini yeyeto anaweza badilika. Sio mke tu. Wanawake ni wavumilivu sana ILA ikifika mahali amechoka kuvumilia anakuwa mbaya kuliko ibilisi
 
Na ukiwauliza hasa wazazi wakike wanadai waliwavumilia wame zao as if wao hawakuwa na tatizo kabisa😂
Hapa nasimama kuwatetea bibi na mama zetu.
Naweza kusema ni kweli waliwavumilia waume zao.

1. Walikuwa na maadili, ambayo kwa usasa wenu mnaita “wa kienyeji”

2. Vishawishi kwao vilikuwa kidogo sana/hakukuwa na vishawishi.

3. Hakukuwa na utandawazi (Chanzo cha vishawishi)
i) 50/50
ii)Mitandao ya kijamii
iii) Tamaa

Yote kwa yote, jamii ilimuweka mwanamke katika kundi lisilo na sauti, hakuna kuhoji ni kutii tu kila anachoambiwa. Mwanamke alifundwa kuwa mke na sio mtendaji, kuwa mvumilivu na msiri.

Ndoa (Dini/kimila) ilithaminiwa sana, hivyo kupelekea mwanamke kulelewa kama mke mtarajiwa.
Kwa khali hiyo mwanamke atatii tu, akikengeuka ataonekanaje kwa jamii.

Kwa sasa hivi hata malezi yenyewe ya kubangaiza, baba busy mama hekaheka.

Inafikia hatua watoto wanajiamulia wenyewe wawe jinsia gani kimuonekano.
 
Nimeelewa mkuu , upo sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom