Na ukiwauliza hasa wazazi wakike wanadai waliwavumilia wame zao as if wao hawakuwa na tatizo kabisa😂Safi sana hata wazazi wengi wanafikisha hii miaka
Nyashi insisha wakati wowote wrangling huyu bibi sasa hivi nyashi ipo imesha isha.Tatizo vijana wanapenda big nyash hawajui big nyash haijengi family
Unaishi nae kama hawara au ndugu yako?Unaweza kuishi na mwanamke hata miaka 60 bila ndoa , sasa kataa ndoa wanaingiaje hapo?
👆👊chukua mda wako upate mwenza wako sahihi hutajutia.
Hao mambo ya hawara mimi siyafahamuUnaishi nae kama hawara au ndugu yako?
Ni kweli ndoa raha ukipata mtu sahihi ila kati ya 100 wanao weza kupata wake sahihi ni 2% tena kibaya zaidi ni wale masikini wakipato na shule ndogo na wanaishi vijijini, mjini ni suala la mda mke anabadilika anakua mbogo mujuaji mwenye kutaka haki mlembo loh mpaka unapata stress za bure.Ndoa ni kitu kizuri sana sana. Lengo lake likiwa kuishi kwa pamoja mkishare matamu na machungu, kupata uzao na kumtukuza Mungu wenu. SHIDA ilianza pale shetani alipoanza kuipiga vita ndoa. Zamani ilikuwa hakuna kitu kukosea kuchagua; watu walikutanishwa tu bila kuchaguana na waliishi vizuri sana. Baadae ikafuata bora uchague wa kufanana nae angalau mtaendana... vita vimepamba moto sasa imekuwa songombingo na kosovo la ndoa. Hata hivyo bado unaweza kusimama na kuchakura chakura kama kuku hadi umpate wa kuwezana. Nimeangalia hiyo picha.... nimewaza mengi sana
Mkuu ni kwako tu kuna watu pesa sio issue, issue ni kupata mke sahihi ambao ni adimu sanaaa.Nyakati zimebadilika:
Wanamke aliye peak miaka ya 1970 sio mwanamke aliye peak kwa Sasa (2025), wametofautiana kuanzia viburi, upendo mpaka uhusiano wao na pesa
Mwanaume aliye peak 1970 sio sawa na wa sasa; wa Sasa anakabiliwa na mkandamizo mkubwa unaotokana na kuongezeka gharama za maisha wakati ujira wake umeporomoka maradufu
Ni kweli ndoa raha ukipata mtu sahihi ila kati ya 100 wanao weza kupata wake sahihi ni 2% tena kibaya zaidi ni wale masikini wakipato na shule ndogo na wanaishi vijijini, mjini ni suala la mda mke anabadilika anakua mbogo mujuaji mwenye kutaka haki mlembo loh mpaka unapata stress za bure.
Hapa nasimama kuwatetea bibi na mama zetu.Na ukiwauliza hasa wazazi wakike wanadai waliwavumilia wame zao as if wao hawakuwa na tatizo kabisa😂
Nimeelewa mkuu , upo sahihi kabisa.Hapa nasimama kuwatetea bibi na mama zetu.
Naweza kusema ni kweli waliwavumilia waume zao.
1. Walikuwa na maadili, ambayo kwa usasa wenu mnaita “wa kienyeji”
2. Vishawishi kwao vilikuwa kidogo sana/hakukuwa na vishawishi.
3. Hakukuwa na utandawazi (Chanzo cha vishawishi)
i) 50/50
ii)Mitandao ya kijamii
iii) Tamaa
Yote kwa yote, jamii ilimuweka mwanamke katika kundi lisilo na sauti, hakuna kuhoji ni kutii tu kila anachoambiwa. Mwanamke alifundwa kuwa mke na sio mtendaji, kuwa mvumilivu na msiri.
Ndoa (Dini/kimila) ilithaminiwa sana, hivyo kupelekea mwanamke kulelewa kama mke mtarajiwa.
Kwa khali hiyo mwanamke atatii tu, akikengeuka ataonekanaje kwa jamii.
Kwa sasa hivi hata malezi yenyewe ya kubangaiza, baba busy mama hekaheka.
Inafikia hatua watoto wanajiamulia wenyewe wawe jinsia gani kimuonekano.