Miaka 5 ya CCM #Pambana Na Hali Yako

QUOTE="Mmawia, post: 35701873, member: 165175"]
Naona corona imevuruga system ya utendaji kazi kwenye halmashauri ya kichwa chako
[/QUOTE]
Nadhani hujui kusoma, unaweza kuandika pekee
 
Sawa
QUOTE="Mmawia, post: 35701873, member: 165175"]
Naona corona imevuruga system ya utendaji kazi kwenye halmashauri ya kichwa chako
Nadhani hujui kusoma, unaweza kuandika pekee[/QUOTE]
 
akiiweka unitag na mimi!
Mkuu leo nimekumbuka jambo moja kwamba wakati Waitara anaondoka cdm alisema kwamba anaefuatia ni James Ole Millya, Meya Boniface wa Manispaa ya UbungO Akakurupuka na kudai kuwa ole Milya sio tu hawezi kuhama bali ikitokea akahama basi Meya huyo naye angejiondoa Chadema, je Meya bado yuko cdm au alishahama Cdm???
 
Kwa sasa mtoto akionekana shule na computer au iPad anafukuzwa au mzazi kuitwa,tupo shithole countries hizo Mambo hazituhusu
 
Meya bado yupo mkuu, ila kafanyiwa figisu za ajabu, labda tusubiri huo utabir kama utakamilika bunge likivunjwa.
 
Meya bado yupo mkuu, ila kafanyiwa figisu za ajabu, labda tusubiri huo utabir kama utakamilika bunge likivunjwa.
Sijui kitu gani kilimpa Meya Jacob kujiamini huko lakini jambo moja la wazi ni kwamba ameonekana kituko. Na ana bahati tu kwamba wana-Chadema ni uthibitisho mzuri wa usahaulifu wa Watanzania. Vinginevyo, muda huu “angekuwa ameshikiwa bango” kutakiwa atekeleze ahadi aliyojiwekea mwenyewe kuwa angehama Chadema endapo ole Milya angehama chama hicho.
 
Kwa pesa ipi hii ambayo wabunge wanalipwa inaliwa na chama
Ningependekeza wanafunzi waanze kufundishwa IT kuanzia shule ya msingi. Shule ipate computer hata tano, iwe na WiFi, kuwe na mwalimu mwenye taaluma hiyo.

Dunia ya sasa ni kidigital mtoto anamaliza darasa la saba hajui hata kujaza fomu kwa kidigital.
 
kweli mkuu, ila siku zote mwanasiasa siyo wa kuamini
 
Kile chama chako cha kidini ndio kumekutuma kuweka huu upuuzi hapa
Mkuu kuna jambo la muhimu sana kuhusu hawa wanaosema kwamba Rais alisema atakifuta chama cha Cdm, Lakini kuna masuala kadhaa yanayoamsha tafakuri. Moja ni ushahidi wa wazi kuwa intelijensia ya Chadema ni kama mfu. Ikumbukwe kuwa moja ya sababu zilizopelekea Chadema kukubalika sana miongoni mwa Watanzania ni uwezo mkubwa iliokuwa nao huko nyuma kuibua skandali mbalimbali, hususan kuhusu serikali na wanasiasa mbalimbali wa CCM.

Skandali hizo — EPA, Kagoda, Richmond, Buzwagi, nk — zilichangiwa na uimara wa intelijensia ya chama hicho, sambamba na kuamika kwa viongozi wake kama aliyekuwa Katibu Mkuu wake Dkt Wilbrord Slaa, kiasi cha watumishi wa serikali kuhatarisha ajira na usalama wao na kukipatia chama hicho nyaraka mbalimbali kama ushahidi wa tuhuma kwenye skandali husika.

Kwahiyo laiti intelijensia ya Chadema ingekuwa imara kama ilivyowa zama za akina Dokta Slaa basi ni wazi chama hicho kingeweza kubaini mapema kuwa mbunge huyu au diwani yule ana mpango wa kutukimbia
 
Mdogo wangu siasa zimeshakukataa sasa hata Spunda anakuzidi ushawishi,endelea kuwa msemaji wa Sefu.
 
Tarehe 6/04 alidai hatagombea tena udiwani baada ya kuvunjwa baraza la madiwani, inawezekana akagombea ubunge, make udiwani amekaa miaka 10. lkn kwa chama kipi? na jimbo gani?
Mkuu ujue mpaka sasa uwezekano wa Chadema kutopata japo jimbo moja kwenye uchaguzi huu wa 2020 halielekei kukisimbua cdm kabisa. Ukijaribu kuliweka mezani kwa ajili ya mjadala, utaishia kutukanwa. [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Tarehe 6/04 alidai hatagombea tena udiwani baada ya kuvunjwa baraza la madiwani, inawezekana akagombea ubunge, make udiwani amekaa miaka 10. lkn kwa chama kipi? na jimbo gani?
Imekuwaje Boniphace Jacob na yale makeke yake yote yuko kimya sana hivi, mpaka m/kiti analewa anaanguka kwenye ngazi na MZINGA WA KONYAGI yye yuko kimya, wakati Jacob alikuwaga mfuasi mzuri sana wa Mzee Baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…