Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Madini au pumba tu. Bajeti inayotekelezeka kwa 93% unakuja kuipinga kishabiki kama unashabikia Simba na Yanga. Kwani sisi hatuoni yanayofanyika? Hatuoni sekta ya miundo mbinu,afya ,elimu na viwanda na biashara namna serikali inavyojitahidi! Msituyumbishe na takwimu za kupika na kujifanya mnajua sana.Nimejitahidi kusoma mpaka mwisho ni madini tupu ila hofu Kuna watu watakuja kukushambulia,so sad
Mkuu kwani ule wa kwenu haujatoa WAZO MBADALA WA BAJETI??
Si ile bajeti yenu iliyowasilishwa na Mr. wa BulayaUle wakwetu upi boss?
Si ile bajeti yenu iliyowasilishwa na Mr. wa Bulaya
Thanks Mkuu Zitto kwa very objective analysis.ACT Wazalendo na Bajeti za Serikali ya CCM Awamu ya Tano
Huwa sibishani na watu wenye akili Kama za kwakoMadini au pumba tu. Bajeti inayotekelezeka kwa 93% unakuja kuipinga kishabiki kama unashabikia Simba na Yanga. Kwani sisi hatuoni yanayofanyika? Hatuoni sekta ya miundo mbinu,afya ,elimu na viwanda na biashara namna serikali inavyojitahidi! Msituyumbishe na takwimu za kupika na kujifanya mnajua sana.
Kwani wapinzan hawajawah kusema hadharani kuwa watahakikisha wanaitupilia mbali na kuisambalatisha CCM.Rais mwenyewe alitangaza kwenye mkutano wa hadhara kuwa atahakikisha anafuta upinzani nchini.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Inategemea na scale uliyopo kwa sasa kwa 940,000/= mpaka 760,000/= watapata 33,800/=Nasikia kuanzia July Mishahara ya wafanyakazi itaongezeka kwa Tsh 51,000/= ni kweli?
Nakuunga mkono. Wakati huo kufundishwe program hizi kuanzia shule ya msingi walau mwanafunzi wa kidato cha nne& sita anaweza kuingia mtaani na kufanya jambo la kimaendeleo.Ningependekeza wanafunzi waanze kufundishwa IT kuanzia shule ya msingi. Shule ipate computer hata tano, iwe na WiFi, kuwe na mwalimu mwenye taaluma hiyo.
Dunia ya sasa ni kidigital mtoto anamaliza darasa la saba hajui hata kujaza fomu kwa kidigital.
Kuna mtu aliniambia nikajua kwa wafanyakazi wote wamepigwa FLAT RATE!! Sasa nyongeza ya Elfu 33 au 51 si zinabakia kwenye account zitashindwa kutoka? Serikali haipo serious!! Inatakiwa waongeze at least 150k ,sasa mtu anayelipwa 5m kisha unamuongezea Tsh elf 33 itamsaidia nini? Waangalie vizuri nimeipenda PAYE ya ACT kwamba unafuhu unaonekana!!Inategemea na scale uliyopo kwa sasa kwa 940,000/= mpaka 760,000/= watapata 33,800/=
Yeye alikiweka kama kipaumbele cha serikali na akakisimamia kwa kutumia raslimali za umma huoni kuwa hayo ni matumizi mabaya ya Mali za umma na madaraka?Kwani wapinzan hawajawah kusema hadharani kuwa watahakikisha wanaitupilia mbali na kuisambalatisha CCM.
Mkuu mbona mnakomaa na vidokezo vya lugha ya kisiasa tu.
Ila mipango iwe imara ya parental controls mana la sivyo miss use madhara yake ni makubwa zaidi.Ningependekeza wanafunzi waanze kufundishwa IT kuanzia shule ya msingi. Shule ipate computer hata tano, iwe na WiFi, kuwe na mwalimu mwenye taaluma hiyo.
Dunia ya sasa ni kidigital mtoto anamaliza darasa la saba hajui hata kujaza fomu kwa kidigital.
Nimejitahidi kusoma mpaka mwisho ni madini tupu ila hofu Kuna watu watakuja kukushambulia,so sad
Nani kakueleza Zitto anashida na uwaziri? jamaa anataka uRais na hataki kugombea na Magufuli afanywe chambo aaibike, baada ya October tutakuwa naye mitaani tukipambana pamoja na hali zetu.Moja ya uchambuzi bora kabisa zitto awe waziri mkuu au waziri wa fedha wa serikali ijayo.
We una akili gani za maana zaidi ya kukariri upuuzi wa mtu kama Zitto.Huwa sibishani na watu wenye akili Kama za kwako
Kwahiyo kumbe Chadema kuing'oa madarakani na kuisambaratisha CCM siyo kipaumbele Cha chama?Yeye alikiweka kama kipaumbele cha serikali na akakisimamia kwa kutumia raslimali za umma huoni kuwa hayo ni matumizi mabaya ya Mali za umma na madaraka?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app