Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1


Wakuu,
Hiyo ndio maana ya waarabu koko.

Asante

cc Ritz,gombesugu
 
Utukufu siyo lazima utokane na dini,acha ujinga wa kukariri na brainwashed!Cultures derived kutoka utumwa ziko,lugha ya Kiswahili ikiwa mojawapo.

Eti "kwakukosa dini",unaona mahali akili yako imefyatuka?si lazma kila mtu awe na dini yako,ama hata awe na dini!
 

Pasco mbona kila wakati mnaongelea Mapinduzi ya Zanzibar, kwani yamekuhusu nini?

Mbona huongelei hawa Wafalme wenu?


German Colonial Uniforms- Uniformed African Leaders and their Private Armies
 
Last edited by a moderator:


wewe unaona bora cha watu kuliko chako au ndio ulivyolelewa hivyo kupapatika na vya watu na kudharau vyako ???
 
wewe unaona bora cha watu kuliko chako au ndio ulivyolelewa hivyo kupapatika na vya watu na kudharau vyako ???
Mkuu Gavana, imekuwa tuu ni mazoea kwa mtu kudharau chake na kuthamini cha mwenzio!. Sio unajua jinsi "the forbiden fruit is the sweetest!" na ukiwa kwenye line utaona the other line moves faster!. Hivi huoni hata jinsi bara tunavyoithamini Zanzibar?!. Jumamosi naelekea huko for ten days kushrehekea Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu!, sikumbuki ni sherehe gani hapa bara tuliiadhimisha kwa siku 10 mfululizo!, 2011, ile miaka 50 ya uhuru, tuliadhimisha kwa siku 9 tuu!.
Happy New Year
Pasco
 

tabia hizo ndio ni moja ya tabia za watu wa udaku, kuyaacha yake kushughulikia ya wenzake .


Ikifufuka tanganyika utasherehekea kuondoka wafalme wako wa kihaya ???
 
Kuna mengi sana ya kujiuliza lakin insh'Allah soon majibu yatapatikana. nafikiri maalim Seif, Mz nassor Moyo, Eddy Riyani na mansour Yousuf Himid na Mh Jusa wanasema bila kificho nini waZnz wanahitaji kwa wakti huu kujibu masuala yote yaliyoshindikana kwa miaka 50.

Tuvute subra
 
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…