TZ kwanza
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 250
- 87
Ndugu zangu historia inaonyesha kuwa hapo awali kabla mkoloni hajaja africa,waafrika tulivaa magome ya miti tena tukufunika sehemu fulani fulani tu za mwili na pengine baadhi ya jamii waliishi uchi kabisa.Lakini wakoloni wakatuletea nguo na mpaka leo tunavaa kufunika asilimia kubwa ya miili yetu, cha ajabu wenzetu waliotuletea nguo wakat mwingine wanavaa nusu uchi lkn muafrika mwenzetu akivaa hivyo( nusu uchi) anaonekana hana maadili natena anaambiwa anaiga utamaduni wa magharibi.
SWALI
Je tumesahau utamaduni wetu( kusitir baadh ya sehemu ya mwili na pengine kutembea uchi) ???
Au tumestaarabika kuliko waliotuletea hizo nguo???
Note,simaanishi kuwa naunga mkono kuvaa nusu uchi,mnisaidie ilikuwaje hapo tukatukuza vya wenzetu kuliko vyetu?