miaka 50 ya uhuru na clouds fm

miaka 50 ya uhuru na clouds fm

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
379
Reaction score
165
kama unaujua mziki,tena si unafiki, huwez kusheherekea miaka 50,bila kumtaja nguli wa music hip hop tz mheshimiwa joseph mbilinyi,kwani alifanya kazi ya ziada na hata kuu utangaza muzik ndan ya bongo na nje ya bongo,so sion sababu ya kumpa shavu bushoke! Sawa hawa wanuka miguu wanatakiwa kujua mzik na historia,na si unafik wanaoufanya! Am out guyz
 
Na mimi nashangaaaa wanawaenzi eti kina Qchief kama waasisi wa bongofleva bila kumtaja sugu wanachemka hawa klauzi
 
Back
Top Bottom