Baba mtata
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 280
- 40
dah mafanikio katika elimu??? kusema kweli mimi ninawapongeza sana kwa pepa ya form six mwaka huu japo ilivuja ila ilikua kwenyestandard....sasa ukija kwengine ni uozo mtupu!! matokeo ya darasa la saba,mitihani kuvuja,board ya mikopo na matatizo yake mengi tu,tcu ndo uozo kabisa,mtihani wa kuchagua majibu katika somo la hisabati(std 7) ni aibu.....GENERALLY NOTHING NEW!Heshima wakuu!!
Katika kuadhimisha miaka 51 ya uhuru kuna mafanikio gani na changamoto gani katika kuiendeleza elimu bora nchini Tanzania?
Nawasilisha