Miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika: Uhuru una maana gani leo?

Nilikuwa nacheki maadhimisho ya leo, wakati Sungusungu wanapita kwa mbwembwe kali kijana wangu wa darasa la nne akaja nilipokuwa kuniuliza, "oooh ok so this was during Independence Day in 1961 right?"

Nikamjibu no, its live. ....akaniangalia akaondoka zake!!
 
Kama umezaliwa Tanzania na hujawahi ishi Sehemu za majanga kama Somalia, ni rahisi kuandika haya anaandika Mhe Zitto. Mnao dhani hatuko huru kawaulizeni Libya nini kinawapata Baada ya kutamani Vurugu.
heri ya siku ya uhuru
Kama mwalimu angekuwa na mawazo kama ya kwako basi leo hii asingekuwa muasisi na Taifa hili si ajabu taifa letu lisingekuwa Tanzania / Tanganyika.
 
Tukipata watanzania kama wewe nchi itazidi kuwa maskini na dhaifu, nakuona km umekuja kudai demokrasia ya mikutano sisi tunawaza maendeleo na sasa nchi inajengwa

History inaoesha tangu mfumo wa vyama vingi ndio uchumi ulianza kuyumba


USSR
Unasema Historia au hisia?
Unajua kwanini tulikubali kupokea mfumo wa Demokrasia ya Vyama Vingi?
 
Kama umezaliwa Tanzania na hujawahi ishi Sehemu za majanga kama Somalia, ni rahisi kuandika haya anaandika Mhe Zitto. Mnao dhani hatuko huru kawaulizeni Libya nini kinawapata Baada ya kutamani Vurugu.
heri ya siku ya uhuru
Mkuu kwani kukosoa na kuhitaji katiba iwe na nafasi ni vita? Jf siku hizi imejaza vitu vitu na watu watu wa ajabu
 
Sidhani sasa kama kuna haja ya kuuliza viongozi wa upinzani wamechukua hatua gani? Wamechukua hatua nyingi sana kwa kiasi fulani Watanzania ndio tatizo tunakua wapole sana kiasi serikali ktuchukulia poa, mauaji ya Akwilina tumekaa kimya tuu, Uhuru wa kujieleza hakuna tumekaa kimya tuu, serikali kuvuruga uchaguzi mdogo tupo kimya, wafanyakazi kunyimwa stahiki zao tumekaa kimya tu, vifurushi bima ya afya bado tupo kimya.

Sisi wenyewe ni sehemu ya tatizo
 
Old song!!
Kila siku hadithi ile ile! Wewe ni mwansiasa ndo maana huongelei kilimo kiko hatua gani. Badala yake unazungumzia mambo ya kusimama majukwaani. Tukusaidie nini?
 
Kuna mambo
Mkuu kwani kukosoa na kuhitaji katiba iwe na nafasi ni vita? Jf siku hizi imejaza vitu vitu na watu watu wa ajabu
Yanazungumzika. Uhuru ni tunu ya kitaifa. Huwezi kususa na kufanya kampeni watz waone Hakuna la kujivunia Kwa uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…