Miaka 6 Magufuli alikamilisha miradi mingapi?

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
4,683
Reaction score
7,222
Ukiacha barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi ni barabara gani nyingine ameijenga? Uwanja ndege wa Chato? Miradi mingi aliyoanzisha siyo feasible economically.

SGR Mwanza ina faida gani, tusidanganyane watu over-estimate Mwanza wakati kiuchumi siyo kweli. Mwanza hakuna mzigo unarudu nao kwenda labda Dar au mikoa mingine.
 
Zitto: selikali ya rais Samia haijajenga barabara hata moja tangu mwaka 2021 huku til. 2.9 zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi zikiliwa na wajanja
 
Magufuli hakufikisha miaka 6 katika Urais ameingia November 2015 hadi March 2021 hii ni sawa na miaka 5 na miezi 4 tu.
Au nayo ni sehemu ya sifa za uongo mnazompa!
 
Ukiacha barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi ni barabara gani nyingine ameijenga? Uwanja ndege wa Chato? Miradi mingi aliyoanzisha siyo feasible economically. SGR Mwanza ina faida gani, tusidanganyane watu over-estimate Mwanza wakati kiuchumi siyo kweli. Mwanza hakuna mzigo unarudu nao kwenda labda Dar au mikoa mingine.
Hapa unamuuliza nani?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiuliza na kijijibu.

Utanaka tutaje miradi mingine zaidi ya hiyo?
 
Magufuli alikamilisha kulijaza tumbo lake na la Biswalo mganga

Lingine alilokamalisha ni mauwaji huku akiwatuma wasiojulikana kutekeleza mauwaji hayo.
 
Ukiacha barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi ni barabara gani nyingine ameijenga? Uwanja ndege wa Chato? Miradi mingi aliyoanzisha siyo feasible economically. SGR Mwanza ina faida gani, tusidanganyane watu over-estimate Mwanza wakati kiuchumi siyo kweli. Mwanza hakuna mzigo unarudu nao kwenda labda Dar au mikoa mingine.
Ungetupa jumla ya mzigo unaoenda na kurud hayo maeneo tukalinganisha na mizigo ya mwanza.

Kwa taarifa yako [emoji116]
01.Dhahabu
02.Pamba
03.Samaki
04.Kahawa
05.Chai
06.Nafaka
07.Almasi

Haya ni mazao yanayofanya vizur kweny soko la nje na kwa asilimia kubwa yanatoka kanda ya ziwa. Acheni chuki zisizo na msingi.
IMG-20230206-WA0004.jpg
 
Ukiacha barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi ni barabara gani nyingine ameijenga? Uwanja ndege wa Chato? Miradi mingi aliyoanzisha siyo feasible economically. SGR Mwanza ina faida gani, tusidanganyane watu over-estimate Mwanza wakati kiuchumi siyo kweli. Mwanza hakuna mzigo unarudu nao kwenda labda Dar au mikoa mingine.
We mpumbavu...kwani SGR itabeba mizigo tu si Kuna abiria pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom