Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Kwa hiyo shule za fundi na Kilimo hazina madarasa?Juzi tumefikisha miaka 60 ya Uhuru lakini hali bado inasikitisha sana. Serikali inaendelea na ujenzi wa madarasa ya shule za awali na sekondari. Nadhani ni kipindi sasa serikali inabidi igeukia elimu za ufundi kilimo na ufugaji. Kila mwaka nchi inalia na upungufu wa madarasa sasa unajiuliza hao wanaomaliza hawatoi nafasi kwa wengine kuingia kwa kutumia madarasa hayo hayo.. hizi pesa za UVIKO bora zingeelekezwa kutoa elimu ya ufundi kilimo na ufugaji kuliko haya madarasa ya awali ambayo kwa elimu ya sasa yanatoa fursa chache kwa Watanzania kujiajiri.
Zimejengwa au unajijibia tu bila kuelewaKwa hiyo shule za fundi na Kilimo hazina madarasa?
Sawa wewe na baba yako na mama yako ni wakongo hivyo sio wajingaOna akili za Watanzania!Badala ya kusema kuwa Serikali imeshindwa kudeliver kwa hiyo inapaswa kukaa pembeni na kupisha wenye uwezo na vision,wewe unadai kuwa ibadilike ianze kutengeneza shule za ufundi na Kilimo?
Serikali ambayo imeshindwa kutengeneza hizo shule za ufundi na kilimo ndani ya miaka 60 ya uhuru ije kuweza leo?!
Tanzania haiwezi kamwe kuendelea kwa sababu ya mindset kama hizi.Watu ni mbumbumbu kupindukia.Linapokuja suala la akili ni kama Taifa lina laana.
Ufundi si tuna VETA?Juzi tumefikisha miaka 60 ya Uhuru lakini hali bado inasikitisha sana. Serikali inaendelea na ujenzi wa madarasa ya shule za awali na sekondari. Nadhani ni kipindi sasa serikali inabidi igeukia elimu za ufundi kilimo na ufugaji. Kila mwaka nchi inalia na upungufu wa madarasa sasa unajiuliza hao wanaomaliza hawatoi nafasi kwa wengine kuingia kwa kutumia madarasa hayo hayo.. hizi pesa za UVIKO bora zingeelekezwa kutoa elimu ya ufundi kilimo na ufugaji kuliko haya madarasa ya awali ambayo kwa elimu ya sasa yanatoa fursa chache kwa Watanzania kujiajiri.
Kwa akili zako lazima tukwame aisee. VETA na SUA zinajengwa kila mwaka!? Cha muhimu serikali isitishe ngojera za kujenga madarasa kila mwaka. Ijikite kwenye kujenga shule za ufundi na kilimo ambazo mtu hata akimaliza la saba hana haja ya kwenda VETA na SUA anaanza kujitegemea hao STD 7 na Form 4 wanaweza kujitegemea?Ufundi si tuna VETA?
Kilimo si tuna hadi SUA?
Twakwama wapi sisi watu weusi?
Chama Cha Mazuzu sio wasikivu. Wanataka kujenga makorokoro yao wyasioyo na tija kila mtaaJuzi tumefikisha miaka 60 ya Uhuru lakini hali bado inasikitisha sana. Serikali inaendelea na ujenzi wa madarasa ya shule za awali na sekondari. Nadhani ni kipindi sasa serikali inabidi igeukia elimu za ufundi kilimo na ufugaji. Kila mwaka nchi inalia na upungufu wa madarasa sasa unajiuliza hao wanaomaliza hawatoi nafasi kwa wengine kuingia kwa kutumia madarasa hayo hayo.. hizi pesa za UVIKO bora zingeelekezwa kutoa elimu ya ufundi kilimo na ufugaji kuliko haya madarasa ya awali ambayo kwa elimu ya sasa yanatoa fursa chache kwa Watanzania kujiajiri.
Ili waimarike kinadharia na kivitendo std 7 na form 4 ni lazima waende angalau VETA au vyuo vya kilimo ambavyo tunavyo kama cha Uyole Mbeya.Kwa akili zako lazima tukwame aisee. VETA na SUA zinajengwa kila mwaka!? Cha muhimu serikali isitishe ngojera za kujenga madarasa kila mwaka. Ijikite kwenye kujenga shule za ufundi na kilimo ambazo mtu hata akimaliza la saba hana haja ya kwenda VETA na SUA anaanza kujitegemea hao STD 7 na Form 4 wanaweza kujitegemea?
Mimi,Mama yangu pamoja na Baba yangu kuwa Watanzania haiwezi kuzuia ukweli kusemwa.Sawa ww na baba yako na mama yako ni wakongo hivyo sio wajinga
Mjomba Tanzania hii haiwezi kubadilika we tuombe uzima tutafika miaka 70 ya uhuru bado vumbi litakua la kuzidi mjini!!Juzi tumefikisha miaka 60 ya Uhuru lakini hali bado inasikitisha sana. Serikali inaendelea na ujenzi wa madarasa ya shule za awali na sekondari. Nadhani ni kipindi sasa serikali inabidi igeukia elimu za ufundi kilimo na ufugaji. Kila mwaka nchi inalia na upungufu wa madarasa sasa unajiuliza hao wanaomaliza hawatoi nafasi kwa wengine kuingia kwa kutumia madarasa hayo hayo.. hizi pesa za UVIKO bora zingeelekezwa kutoa elimu ya ufundi kilimo na ufugaji kuliko haya madarasa ya awali ambayo kwa elimu ya sasa yanatoa fursa chache kwa Watanzania kujiajiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ona akili za Watanzania!Badala ya kusema kuwa Serikali imeshindwa kudeliver kwa hiyo inapaswa kukaa pembeni na kupisha wenye uwezo na vision,wewe unadai kuwa ibadilike ianze kutengeneza shule za ufundi na Kilimo?
Serikali ambayo imeshindwa kutengeneza hizo shule za ufundi na kilimo ndani ya miaka 60 ya uhuru ije kuweza leo?!
Tanzania haiwezi kamwe kuendelea kwa sababu ya mindset kama hizi.Watu ni mbumbumbu kupindukia.Linapokuja suala la akili ni kama Taifa lina laana.