Miaka 60 ya Siku ya Afrika

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Tanzania imeungana na Afrika Kusini kuadhimisha Siku ya Afrika Mei 25, 2023 manispaa ya Mogala nchini Afrika Kusini kusherehekea miaka 60 ya Umoja wa Afrika tangu kuanzishwa kwake Mei 25, 1963 Addis Ababa Ethiopia.


 
Wameadhimisha tu kama utamaduni wa jando na unyago?

Wametoka na maazimio gani ya kupambana na maadui watatu: UJINGA, MARADHI na UMASKINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…