Maze runner
Member
- Dec 7, 2021
- 32
- 39
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuna msemo una sema " ukitaka kuleta maendeleo ktk taifa lolote, badili au weka mfumo mzuri wa Elimu". Hivyo Basi naomba kuwasilisha kwa wadau swali langu kuwa;
"Elimu yetu ambayo mwanafunzi akimaliza form 4 anaenda form 5&6, ina tija gani kwa taifa letu?"
Maelezo;
Mwanafunzi akimaliza form6 Elimu alipata shuleni in tija gani kwake na kwa jamii iliyomzunguka? Wadau wanahoji anachopata Ni Cheti tu ambacho kinamuwezesha kujiunga na chuo kikuu na kumuwezesha kupata mkopo HESLB!
Mbali na hapo, huyu kijana haweza ajiriwa Wala kujiajiri na kubakia bila dira yoyote Kama hajajiunga na chuo kikuu. Tunaonea ukimlinganisha na mwanafunzi aliemaliza college na kuchukua diploma baada ya kumaliza form 4 anakuwa competent kuliko aliemaliza form 6.
Research ndogo zinaonesha kuwa hata wanafunzi Hawa wakikutana chuo kikuu kwa kuchukua Bachelor's degree, muhitimu wa diploma anakuwa muelewa zaidi kuliko wa form 6. Mbali na hapo, muhitimu wa diploma anaweza fanya shughuli za maendeleo na kujisaidia yeye pamoja na jamii na kuleta tija kubwa zaidi katika taifa.
Hivyo, hatuoni Kama taifa kuwa tunahitaji kujitafakari kwa upande wa Elimu! Leo tunasumbuka na suala la ajira lkn taifa liko busy kuzalisha office personnel kuliko field officers kitu ambacho ukimlinganisha na mataifa mengine kunakuwa hakuna uwiano.
Nchi Kama US na UK na nyenginezo uwiano wa wahitimu na wafanyakazi kwa upande wa Elimu utakuta wahitimu wa diploma Ni zaidi ya mara mbili ya wahitimu wa degree. Yani wafanyakazi wengi Ni wahitimu wa diploma. Degree wapo na Masters wapo na PHD vilevile na wanna nafasi yao katika maendeleo ya jamii. Ila Hali TZ Ni tofauti ambayo inapelekea kuwe na tabaka katika jamii na Tija ndogo.
Wengine watashindwa kuona uhusiano hapo ndo Mana nikasema tujitafakari kwa kina. Mda umefika Sasa wa kuleta mageuzi kwenye Elimu yetu (miaka 60 ya Uhuru wetu). Mfano mdogo tu, kwa upande was vijijini badala ya kupeleka wanafunzi form 5&6 wanafunzi wakapelekwa college au kubadili F5&6 zote kuwa college na kuongeza miondombinu hiyo Kisha wanafunzi wakafundishwa mambo ya msingi Kama kilimo na masomo ya biashara na afya kw level ya diploma. Hatuoni Kama Tina itakuwa kubwa zaidi? Mwanafunzi anamaliza college umri Ni mzuri was kujituma na kuingia shambani na kudiriki kufanya kitu inakuwa rahisi ? Umri pia Ni swala la kutafakari!!!
Ni mawazo yangu na wadau tu I'll yanahitaji tafakuri....