Miaka 60 ya Uhuru: Sina uhakika ni nani mwingine alisimamiwa ubatizo wake na Mwalimu Nyerere zaidi ya Freeman Mbowe

Miaka 60 ya Uhuru: Sina uhakika ni nani mwingine alisimamiwa ubatizo wake na Mwalimu Nyerere zaidi ya Freeman Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nyota njema huonekana asubuhi.

Mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe.

Sina uhakika ni nani mwingine hapa nchini ni mtoto wa Kiroho wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere zaidi ya huyu mahabusu Freeman Mbowe.

Sisi Wajanja wa Mzizima tunamkubali Mwamba.

Mungu ampe wepesi na kumtoa gerezani!

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Huyu MBOWE baba yake alikuwa rafiki mkubwa wa mwalimu.

Na mwalimu alikuwa bingwa wa kutengeneza mashushu.

Wanaemwani MBOWE waendelee tu lakini wajue tu wanachezewa akili
 
Huyu MBOWE baba yake alikuwa rafiki mkubwa wa mwalimu.

Na mwalimu alikuwa bingwa wa kutengeneza mashushu.

Wanaemwani MBOWE waendelee tu lakini wajue tu wanachezewa akili
Wapinzani wa tanzania hakuna wasichoamini hata wakiambiwa mama maria nyetere ni gaidi na akasimamishwa mahakamani watakubali

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yohana Mbatizaji heshima yako mkuu. Leo Roho Mtakatifu amekukufunulia maneno ya hekima na ya kufikirisha sana. Mungu was Mbinguni azidi kuingarisha nyota za Mwamba kwa namna ambayo wengi wetu hatujui dhamira yake ya kumpitisha katika tanuru hili.
 
Je Nyerere naye alikuwa GAIDI?
Je Nyerere alipungukiwa maono?
Je zikowapi fikra sahihi za Nyerere zinazotakiwa kudumishwa Kama alishindwa kujua kuwa anayemsimamia ubatizo NI Nduli?
 
Kusimamiwa na ubatizo na Nyerere siyo hoja ya kufuta kesi ya Mbowe.
 
Back
Top Bottom