johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kesho wanatolewa wafungwa siyo mahabusu!Mapema kesho kesho uhuru day anatolewa.
Akili za mandazi hizi.Huyu MBOWE baba yake alikuwa rafiki mkubwa wa mwalimu.
Na mwalimu alikuwa bingwa wa kutengeneza mashushu.
Wanaemwani MBOWE waendelee tu lakini wajue tu wanachezewa akili
Wapinzani wa tanzania hakuna wasichoamini hata wakiambiwa mama maria nyetere ni gaidi na akasimamishwa mahakamani watakubaliHuyu MBOWE baba yake alikuwa rafiki mkubwa wa mwalimu.
Na mwalimu alikuwa bingwa wa kutengeneza mashushu.
Wanaemwani MBOWE waendelee tu lakini wajue tu wanachezewa akili
Wivu!Mtu yeyote mwenye makengeza kama mbowe huwa ni ndumila kuwili
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkesha wa mataputapu unakutesa pumzika dogoMtu yeyote mwenye makengeza kama mbowe huwa ni ndumila kuwili
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Mtu yeyote mwenye makengeza kama mbowe huwa ni ndumila kuwili
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Dhana ya kianalogia hiyo.Huyu MBOWE baba yake alikuwa rafiki mkubwa wa mwalimu.
Na mwalimu alikuwa bingwa wa kutengeneza mashushu.
Wanaemwani MBOWE waendelee tu lakini wajue tu wanachezewa akili
Mtu yoyote mwenyewe makalio makubwa sana kama wewe nyundo2017 akili zake ziko kwenye tundu ya haja kubwaMtu yeyote mwenye makengeza kama mbowe huwa ni ndumila kuwili
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ngumu kumesaMtu yoyote mwenyewe makalio makubwa sana kama wewe nyundo2017 akili zake ziko kwenye tundu ya haja kubwa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Nawasihi waungwana wasikushambulie kutokana na kauli zako za kitoto, huna hadhi ya kulaumiwa maana kiwango chako ni cha udaktari wa heshima.Mtu yeyote mwenye makengeza kama mbowe huwa ni ndumila kuwili
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app