Gaganiga
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 168
- 376
Aiseee! Tuache utani miaka 61 bado tunaangaika na maji, vyoo, elimu na vitu vidogo vidogo tu aisee! Inanikera mazee! Tumlaumu nani? Nyerere? Sisi wenyewe? Au viongozi wetu?
Na je tukiwapa chadema kura huu upuuzi wa ccm ndiyo itakuwa bye bye? Tutafakari wala sipo na utani wakuu naumia sana
Na je tukiwapa chadema kura huu upuuzi wa ccm ndiyo itakuwa bye bye? Tutafakari wala sipo na utani wakuu naumia sana