Miaka 61 ya Uhuru usio na Uhuru

Miaka 61 ya Uhuru usio na Uhuru

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Miaka 61 ya Uhuru usio na Uhuru!

Mnaempinga kisiasa
  • anawapangia cha kusema
  • Anawapangia muda wa kusema
  • Anawapangia pa kusemea
Huu ni Uhuru pasipo Uhuru

Hata ukipanga nyumba ukaambiwa uko huru LAKINI saa moja kamili uwe umerudi geti litafungwa siyo Uhuru!

UHURU HAUNAGA LAKINI

UHURU yake SHERIA!

Wape uhuru watu kwa ukamilifu pasipo LAKINI!

Hata Dereva aliyehuru huadhibiwa kwa uvunjifu wa sheria za usalama barabarani

miaka 61 ya UHURU pasipo UHURU!
Mikutano ya siasa imefunguliwa leo na mwanasiasa! Ambapo nilitegemea msajili wa vyama vya SIASA Ndiye angefungua kwa kutaja vifungu na kanuzi za kuzingatia
 
Nikiangalia muafaka wa Zanzibar uliopelekea kupatikana Serikali ya Umoja wa Kitaifa napata mashaka na haya maridhiano. CUF na sasa ACT vimeingia kwenye mtego wa kuambiwa wamo kwenye Serikali ingawa hawana mamlaka yoyote. Cheo cha Makamo wa kwanza ni ceremonial. Hana nguvu hata ya kumuagiza Sheha.
Tusubiri tuone maridhiano yataleta nini.
 
Kabisa
 
Msajili wa vyama vya siasa kazi yake nn
 
Back
Top Bottom