KabisaNikiangalia muafaka wa Zanzibar uliopelekea kupatikana Serikali ya Umoja wa Kitaifa napata mashaka na haya maridhiano. CUF na sasa ACT vimeingia kwenye mtego wa kuambiwa wamo kwenye Serikali ingawa hawana mamlaka yoyote. Cheo cha Makamo wa kwanza ni ceremonial. Hana nguvu hata ya kumuagiza Sheha.
Tusubiri tuone maridhiano yataleta nini.
Msajili wa vyama vya siasa kazi yake nnNikiangalia muafaka wa Zanzibar uliopelekea kupatikana Serikali ya Umoja wa Kitaifa napata mashaka na haya maridhiano. CUF na sasa ACT vimeingia kwenye mtego wa kuambiwa wamo kwenye Serikali ingawa hawana mamlaka yoyote. Cheo cha Makamo wa kwanza ni ceremonial. Hana nguvu hata ya kumuagiza Sheha.
Tusubiri tuone maridhiano yataleta nini.