Miaka 8 ndani JF

Miaka 8 ndani JF

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Duuh nilitaka nisahau [emoji3]

Napitia profile yangu naona tarehe ya leo inafanana na siku niliyojiunga JF

Nilikuwa Niko mtaani enzi hizo ramani haisomeki [emoji3]

Nimepata mengi sana hapa

Nimezoea huu mtandao kiasi kwamba siwezi kuwa online bila kupita hapa

Cha ajabu katika hio Miaka 8 nimeshindwa hata fikisha comment 10k [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Najiona Kama member mvivu sanaaa wakati Kuna raia Wana mwaka mmoja tu washanipita

Anyway

JF idume milele
 
Halafu unakuta huyu hajawahi kupigwa Ban! Ila aliejiunga mwezi tu tayari keshachezea ban za kutosha..😅

Kweli Mungu na waungwana shetani na wahuni..😜
 
Halafu unakuta huyu hajawahi kupigwa Ban! Ila aliejiunga mwezi tu tayari keshachezea ban za kutosha..[emoji28]

Kweli Mungu na waungwana shetani na wahuni..[emoji12]
Sure boss sijawahi kula ban hata siku moja

Mimi Ni member mtiifu sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123]
 
Sure boss sijawahi kula ban hata siku moja

Mimi Ni member mtiifu sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku yako tu Mambo yatajipa komamanga mkubwa we..😜

Usione nakuita majina ya matunda hiyo ni kwasababu ya ban zilinifanya nibadili uelekeo wa mifananisho!..
Chapati ya kumimina kabisa wewe..😂😅

Nizoee tu mkuu ndo namaliza hasira za ban hivyo..😜
 
Ipo siku yako tu Mambo yatajipa komamanga mkubwa we..[emoji12]

Usione nakuita majina ya matunda hiyo ni kwasababu ya ban zilinifanya nibadili uelekeo wa mifananisho!..
Chapati ya kumimina kabisa wewe..[emoji23][emoji28]

Nizoee tu mkuu ndo namaliza hasira za ban hivyo..[emoji12]
Utapigwa ban wewe [emoji3]

Nimewaloga mods huwa hawazioni comments zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123]
 
Back
Top Bottom