Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Sure boss sijawahi kula ban hata siku mojaHalafu unakuta huyu hajawahi kupigwa Ban! Ila aliejiunga mwezi tu tayari keshachezea ban za kutosha..[emoji28]
Kweli Mungu na waungwana shetani na wahuni..[emoji12]
Ipo siku yako tu Mambo yatajipa komamanga mkubwa we..πSure boss sijawahi kula ban hata siku moja
Mimi Ni member mtiifu sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapigwa ban wewe [emoji3]Ipo siku yako tu Mambo yatajipa komamanga mkubwa we..[emoji12]
Usione nakuita majina ya matunda hiyo ni kwasababu ya ban zilinifanya nibadili uelekeo wa mifananisho!..
Chapati ya kumimina kabisa wewe..[emoji23][emoji28]
Nizoee tu mkuu ndo namaliza hasira za ban hivyo..[emoji12]
Nishazoea mkuu..Utapigwa ban wewe [emoji3]
Nimewaloga mods huwa hawazioni comments zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3]at least inasomeka ila sijafika ninakokutaka .Hongera sana mkuu umejitahidi,mimi enzi hizo nilikua hata sijui kama kuna Jf. Vipi sahivi ramani inasomeka?