demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Katika kile kinacho semekana kama ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 80 ya Yanga Fc.
Yusuph Manji yuko TBC Akihojiwa na mtangazaji Chacha Marwa.
Mzee Mengi, ambaye ni mmiliki wa kampuni ya IPP.... alitarajiwa kuwepo studioni lakini mpaka kipindi kinaanza Mzee mengi hakufika studio.