Miaka 80 ya Yanga Fc : Yusuph Manji Live TBC¹

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Katika kile kinacho semekana kama ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 80 ya Yanga Fc.

Yusuph Manji yuko TBC Akihojiwa na mtangazaji Chacha Marwa.

Mzee Mengi, ambaye ni mmiliki wa kampuni ya IPP.... alitarajiwa kuwepo studioni lakini mpaka kipindi kinaanza Mzee mengi hakufika studio.
 
Mengi hawezi kuja kwa hawa wapuuzi labda wamfuate kule kule ITV
 
Bit.ly/mdahalomanji tazama live popote ulipo kupitia simu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…