10000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 822
- 747
2012 udsm ilitimiza miaka hamsini kama university lakini cha kusikitisha ni kwamba mazingira ya ku acquire elimu ni magumu sana yaliyojaa changamoto,
1. mic kwenye lecture rooms ni mbovu, zina zima kila wakati during the lecture especially yombo 1-5(4&5)
2. mwangwi unaotoka na structure mbovu ya lecture rooms hivyo kupelekea wanafunzi kusikia kwa shida sana kinachozungumzwa
3. chuo kimeshindwa kuweka generators kwenye lecture rooms kubwa yombo 4&5 hivyo umeme unapokatika lecture zinaahirishwa, mbaya zaidi mwanafunzi anakua na kipindi asubui halafu anasubiri kipindi cha usiku na umeme unapokatika inakua very disapointing,
4. white board ni chafu na hazifutiki kwa urahisi
5. baadhi ya venue hazina projector, na venue hiz ni zile zinazo accomodate large class kama BAED
venue zenye generator na projector ni zile anazofundisha mkandala,
uongozi wa udsm tafadhali rejesheni heshma ya chuo.