Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Labda kwa sababu ma-DJ wengi wa bongo ni bongo flavor lakin still muziki wa congo ni superior kwa bongo flavor yetu in terms of beats na organization ya muziki wenyewe. Wa kwetu ni vululu!Kwa kweli sidhani kama Congo inapoteza coz ukienda kwenye ma international awards bado wamo tu. Sema nchi zingine zimeamka na wanatoa pia kanda nzuri nzuri. KAma hapa tanzania inakua rahisi kwa watu kuelewa mimbo ya kina ray c na jay d sababu ni kiswahili na pia wanapatikana hapa kwa concerts na charity. Kule Nigeria pia Music industry imeamka, baada ya apartheid South Africa inakuja na studio kali kali etc.
Kwa wanao penda mziki wa Congo (kama mimi) tunawaona wapo tu, na soko lao limeelekea nchi zingine zaidi ya east africa, ndio maana hawaji ku-promote mziki wao huku kama ilivo kua hapo zamani...
hicho kizazi nilichotaja hapo juu ndo hakina mrithi. Hivi sasa kwani anaevuma congo ni nani? Kiukweli congo inapoteza. Hata sauz nao wanapoteza. Kama si mafikizolo, malaika na minanawe, south is losing tooKwa kweli sidhani kama Congo inapoteza coz ukienda kwenye ma international awards bado wamo tu. Sema nchi zingine zimeamka na wanatoa pia kanda nzuri nzuri. KAma hapa tanzania inakua rahisi kwa watu kuelewa mimbo ya kina ray c na jay d sababu ni kiswahili na pia wanapatikana hapa kwa concerts na charity. Kule Nigeria pia Music industry imeamka, baada ya apartheid South Africa inakuja na studio kali kali etc. Kwa wanao penda mziki wa Congo (kama mimi) tunawaona wapo tu, na soko lao limeelekea nchi zingine zaidi ya east africa, ndio maana hawaji ku-promote mziki wao huku kama ilivo kua hapo zamani...
mh! Nimekutonesha mkuu. But gone are the sweetest days. Hivi kati ya bichuka na dede nani zaidi? Namkumbuka pia mbwembwe...'mmekwishazaa nyinyi sasa ni ndugu, ni lazima mtakutana kwa ajili ya mwanenu. Hizo siku hazirudidah kaka wewe mtizamo wako km mimi sisikii tena wa Congo wakiimba kwa sauti zao tamu. kazini kwenye Computer nna collection za TPOK JAZZ yaani kwa sauti tamu ya YULUU MABIALA naweza sikiliza KAMIKAZE siku nzima! kesho yake ntasikiliza MATATA YA MWASI siku nzima nikifika home ntaweka BISALELA! dah zile sauti hakuna tena. wa Congo hiyo ndo talanta yao walopewa na mungu. hata king kiki na marquis au akiwa OSS masantula ngoma ya mpwita. HASSAN REHANI BITCHUKA huyu jamaa ni kiboko sauti yake ilikuwa stereo mbaya kaka umentonesha kidonda ntaandika hapa mpaka kesho. ukitaka nyimbo za zamani naanzia alhamis redio free africa kuanzia saa nne usiku mpaka saba alfajiri ZOMBOKO ndani ya nyumba. Ijumaa redio one stereo tatu asubuhi mpaka sita kamili mchana. Jpili tunaanza na redio magic saa tatu asubuhi mpaka saa sita mchana. redio one saa nne mpaka sita mchana. mchana redio Mlimani kuanzia saa tisa alasiri mpaka saa kumi na mbili jioni. usiku Redio magamba(radio uhuru) na mikidadi mahmoud saa tano mpaka saba alfajiri. Radio Tanzania sijasikiliza muda mrefu sana na so sijajua km kile cha jili bd kipo
Nimekaa sehem napata flash back za congo. Nawasikiliza kabasele, mabelee,
boziana, defao, wenge n.k. Ni nyimbo tamu sana ambazo ziko kwenye collection. Najiuliza, zile enzi zimeenda wapi?
Sasa hivi congo wanaovuma ni kofi na fally. Slowly slowly Congo is losing the battle