The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Mimi kama mdau wa mapesa ya kigeni. Nasikitika kusema pesa Yetu ya Tanzania inaporomoka Kwa Kasi ya ajabu sana haina thamani kabisaa.
Hii fedha ni Kwa matumizi ya ndani tu, maana ukitaka utoke nayo nje labda ubebe Kwenye mabegi.
Uongo mbaya SERIKALI imelala wasi wasi wangu pia most of government officials na wafanyabiashara wakubwa pesa Zao ziko interns of dollars that is why hawashitushwi na Jambo hili instead they are happy..
Sasa wewe Endelea kutunza pesa zako Kwa TZS utajikuta huna kitu. Tunza pesa interns of dollars. Euro, GBP etc Mpaka Serikali itakapopats akíli..
Imagine leo private banks buying ni around 2400 na selling ni around 2500. What do you think will be in next 5 years. Sijui Hata kama mnanielewa. Inshort elfu Kumi ya 2013 ina thamani zaidi ya elfu Kumi ya 2023, Lakini ingekuwa imetunzwa interns of dollars for the last 10 years thamani yake ingekuwa imeongezeka.
Nimechoka kuelezea ndo maana Bandari yenu imeuzwa HUKU mnashangilia.
Danganyika