Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 323
Mwaka 2013 Kamati ya Mambo ya Nje na Usalama ya Bunge la Kenya liliwata Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya (NIC)kupata maelezo ya kina juu ya tukio la Wastegate baada ya kunusa udhaifu wa vyombo husika vya Ulinzi na Usalama!
Miaka ya nyuma Mmoja wa Watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya alikamatwa na madawa ya kulevya!Matusi makubwa kabisa na adhabu yake ingekuwa sehemu nyingine ilikuwa ni "kuondoshwa"."Chombo cha Mungu" kama Idara nyeti hakipaswi kuwa na watu hata mmoja wa namna hiyo!
Kenya imeingia katika janga kubwa la kiuchumi kwa sasa kupelekea kushindwa kulipa mishahara ya Watumishi wake wa Umma!Moja ya sababu inayotajwa ni over borrowing na over spending kwenye mambo ya ufisadi kwa Serikali iliyopita ya Kenyatta.Sijui kuna ukweli kiasi gani!
Moja ya jukumu Mama ambalo NIC walipaswa kusimamia ni kuhakikisha wana "anticipate" matokeo ya over borrowing kwenye uchumi wa baadae wa Taifa hilo lenye Uchumi Mkubwa Afrika Mashariki!Mpaka Taifa linaingia kwenye kushindwa kulipa mishahara maana yake Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya hakufanya wajibu wake wa kuforesee matukio hatarishi ya Uchumi wa Taifa!
Ni wazi kuwa NIC wana idara au kitengo cha economic intelligence ndani yao ambacho pamoja na majukumu mengine pia ushughulika closely na intellijensia ya Uchumi wa Taifa husika!Piga ua TISS yangu haiwezi kutufikisha ambako NIC wamewafikisha Wakenya leo!
Kuna mambo mawili ambayo Idara yangu ya Usalama wa Taifa inapaswa kuyacommand haraka!Sio suala la kumsikiliza Waziri wa fedha au Mwanasiasa yoyote yule kwa sasa!Kwanza ni idea ya kuwa na Minerals Banks Reserves kubwa katika kila Mkoa au Wilaya na suala hili tuwaachie Idara yetu ya Usalama wa Taifa yenyewe!
Pili,ni suala la Serikali kuwa na mapngo wa haraka wa miaka angalau ishirini mpaka thelasini wa uchimbaji wa madini yetu kwa ajili ya National Minerals Banks Reserve zetu kwa maana ya Gold,Diamonds,Copper na madini mengjeyo!Muda wowote madini unaweza kuingiza sokoni na kupata forex nyingi Incase kuna majanga kama haya ya Kenya!
Wakati Tanzania inatekeleza miradi mikubwa ya kimkakati kupitia mikopo ni wazi kuwa kufikia mwaka 2026 deni la Taifa litakuwa limefika mpaka trilioni 100+ baada ya kukamilika kwa miradi yote mikubwa ya kimkakati!
Ni wazi kuwa tusipochukua hatua tunaweza kujikuta asilimia 70 mpaka 80 ya makusanyo yetu tutakuwa tunapeleka kwenye kuservice made yetu ya Nje!(Debt trap).Tunafanyaje sasa?Jibu pekee ni kuwa na Minerals Bank Reserves kuanzia sasa!
Thamani ya akiba yetu ya madini inapaswa kuwa mara mbili ya deni letu la nje kwa wakati husika!Hiyo ndio njia pekee Incase tukaingia kwenye matishio ya kiuchumi kama ya Kenya! TISS wanapaswa wawe on top kwenye suala hili na kamwe wasiwaachie wanasiasa kuendesha maslahi mapana ya Usalama wa Taifa!
Karibuni kwa mjadala kwa maslahi mapana ya Tanzania!