Miaka michache baadaye Sokwe wote watakuwa binadamu

Miaka michache baadaye Sokwe wote watakuwa binadamu

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Imethibitishwa kuwa miaka zaidi ya 500 kutoka sasa sokwe wote waliopo duniani watakuwa wanadamu, mabadiliko kama proof yameshaanza kuonekana kwa baadhi ya sokwe hadi leo.

Wanachojiuliza ni kwamba maisha ya binadamu wa kawaida yatakuwaje? Social services kwa sokwe wengine waliobadilika lazima zitolewe.

[emoji116]
IMG_20210630_020645_626.JPG
IMG_20210630_020600_200.JPG
 
Hao wana maradhi ya kupukutika manyoya kuna madini yamepungua mwilini. Ni kama vile tunavopatwa na upara haiathiri chochote katika mwili sema upara unaongeza kasi ya kuwapelekea moto tu.
 
Ila hawatakua wazungu watakua waafrica
Jamaa wamewanyoa sokwe wakawaachia mzuzu ilimrad tu wafanane na sisi
 
Hicho kinachowazua sasa hivi kua binaadamu ni nini mpaka wasubiri hio miaka 500 mbele?
 
Mbona sokwe walioishi miaka 500 iliyopita hatujawaona wakibadilika kuwa binadamu, acheni kutuingiza chaka kisa hakuna mtu atakayeishi hiyo miaka 500 ashuhudie sokwe aliyegeuka binadamu...
 
Imethibitishwa kuwa miaka zaidi ya 500 kutoka sasa sokwe wote waliopo duniani watakuwa wanadamu, mabadiliko kama proof yameshaanza kuonekana kwa baadhi ya sokwe hadi leo.

Wanachojiuliza ni kwamba maisha ya binadamu wa kawaida yatakuwaje? Social services kwa sokwe wengine waliobadilika lazima zitolewe.

[emoji116]View attachment 1835076View attachment 1835077

Je miaka ijayo binadamu nao watakuwa sokwe?
 
Back
Top Bottom