hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Nani kasema hakijatokea[emoji780]Kitu ambacho hakijatokea kinawezaje kuthibitishwa?
Logic 101 please…
“Imethibitishwa kuwa miaka zaidi ya 500 kutoka sasa sokwe wote waliopo duniani watakuwa wanadamu,”Nani kasema hakijatokea[emoji780]
HahahhaHao wana maradhi ya kupukutika manyoya kuna madini yamepungua mwilini. Ni kama vile tunavopatwa na upara haiathiri chochote katika mwili sema upara unaongeza kasi ya kuwapelekea moto tu.
Imethibitishwa kuwa miaka zaidi ya 500 kutoka sasa sokwe wote waliopo duniani watakuwa wanadamu, mabadiliko kama proof yameshaanza kuonekana kwa baadhi ya sokwe hadi leo.
Wanachojiuliza ni kwamba maisha ya binadamu wa kawaida yatakuwaje? Social services kwa sokwe wengine waliobadilika lazima zitolewe.
[emoji116]View attachment 1835076View attachment 1835077