Miaka milioni ijayo kutakuwa na kabila na tutakuwa na mchanganyiko nchi zote

Miaka milioni ijayo kutakuwa na kabila na tutakuwa na mchanganyiko nchi zote

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Suala la leo na tafakari baada kusoma maswala ya viumbe vilivyo potea miaka milioni na bilioni iliyopita kama wataalamu kutuambia.

Sisi wanadamu umri wa kuishi muda mrefu ni ngumu na dunia ya sasa ya miaka 2021 kama magonjwa yenye nguvu, ajali, teknolojia, mabadiliko ya hewa na n.k

Katika vitu ambavyo kubadilika huko mbeleni kutakuwa na binadamu mwenye mchanganyiko wa kila aina ya makabila.

Kutokana na muingiliano wa maisha, jamii, biashara na n.k
 
Sio miaka milioni. Miaka milioni ni mingi mno. Dunia itakuwa tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom