Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Amen AmenLala Salama Regia. Mungu atakufufua siku ya mwisho.
Alikua Mbunge wa Vitu Maalum wa CHADEMA, Alikua Mwana JF mwenzetu mzuri sana, alikua mjenga hoja mzuri mno na alifariki kwa ajali ya Gari pale Ruvu miaka mitano iliyopitaNdio alikuwa nani huyo?!Hakuna hata picha yake?!
Alazwe mahali Pema.