Elections 2010 Miaka mitano tu kwa Dr. Slaa

Mtanzania yeyote
Mzalendo wa kweli,
Mwenye akili timamu,
Asiye namtindio wa ubongo,
Asiye mtumwa wa hila chafu,
Asiye udumavu wa kiakili,
Asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi machoni,
wala asiye mzembe wa kufikiri,..

Kaka Intro imetosha, ushanena.
 
Hivi huyu mtoa mada hajui kama Slaa amejifumanisha ??? Ugombea wa Slaa upo matatani ,migwanda ile mi nilijua ni ubabe na uhuni hamna kitu.


Ama kweli bado tuna safari ndefu kufikia manadiliko ya kweli.
 

unaposema mika mitano 5 unauhakika?!! maana chadema washagusia kuandika katiba mpya ! hakawii kujiongezea ! tena na yale magwanda yao yamekaa kikomunisti kweli!!
 
Mnao mpinga Dr Slaa hebu toeni hoja za haja basi. Hebu semeni basi madhaifu ya Dr amekuwa mmbunge kwa miaka 15 Karatu, mjumbe wa kamati ya hesabu za serikali. Tukiacha mambo ya chumbani kwake, ambayo tukianza kusimulia ya mkwere wenu tunaweza kuandika vitabu uko wapi udhaifu wa Dr huyu na kwa nini nisimpe kura yangu?
 
Nionavyo mimi,

1. Mjinga huelimishwa na akaelewa kuliko hata mwalim wake,

2. Mshenzi anaelimu yake, japo anatenda kinyume kwa kutojua utamaduni au desturi ya mahali fulani, mfano mzungu akiingia na kaptura ofisini kwako anaweza asihesabiwe kuwa katenda kosa, ukimwambia kosa lake ataelewa.

3. Mpumbavu ni yule ambaye hajui kwamba hajui. Piga ua galagaza huyu hataelewa kwa njia zote, labda ukitaka asifanye jambo fulani, mwambie alifanye jambo hilo...! I am just thinking aloud!

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu zifiche rasilimali zetu...

Tunahitaji VIONGOZI WAZALENDO SASA NA HATA MILELE...
 
Wanaojaribu kumpinga Dr.Slaa ni waleeeeeee walioonjeshwa kidogo walichochukua,hakuna hoja yenye nguvu wanayoweza kusema kuhusu Dr.Slaaa.Kura yangu nampa Dr.SLAA hata watoto wetu watakapotulaumu niseme mimi sikushiriki katika kuliangamiza taifa la Tanzania maana hata kura yangu nilichagua mtu makini....
 
Dr Slaa, is brilliant, huwezi kumfananisha na vilaza wengi wenye degree walioamua kukimbilia siasa za tumbo wanachoweza kufanya zaidi ni kudanganya umma kila kipindi.

Go DR.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…