Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 764
Hali ipi mkuu? Hali ya hewa
Hali ya hela?
Nasubiri jibu.Hali ipi mkuu? Hali ya hewa
Hali ya hela?
Hali ya hewa huku kwetu ni nzuri labda huko kwenu !
Hali ya nini, soka, umiss tz, ufugaji, au usafi wa kila jmosi ya mwisho wa mwezi?
kwani wewe hali waionaje ? hebu kaa kimya dakika moja fikiria alaf andika tena
Mkuu kielelezo cha hali yoyote ni mazingira,
Inabidi tuwe mazingira sawa
ili tuweze kuhisi hali sawa
Yote Maisha.
Yote Maisha.
umetumia akili hapa ?
Umemaliza ?