Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,718
- 1,481
Graduate wa chuo gani huyo?infact wahitimu wengi wa hyo fani yake huwa wanasota sana kitaa,nawafahamu weng 2 wako mtaan hadi leo!
We mwongo!
Wachumi wana uwanja mpana sana wa ajira (ukiondoa self employment), pengine kuliko fani nyingi unazozijua ww. Huyo jamaa inabidi apate ushauri kwa wataalam (sio lazima kutoka specialized agents hata kutoka kwa washkaji wenye ufaham mzuri) wa namna ya kusaka ajira.
Kwa ufaham wangu, mara nyingi makosa mengi yanaanzia kwenye (1) Uandaaji wa barua na CV (2) Kuoanisha content za kwenye barua, CV na job description. (3) Kosa lingine ni la reliable contact numberz, unaweza ukakuta mtu unaweka namba ambazo aidha za zamani (hazitumiki tena) au huzitumia muda fulani tu then unazichomoa.Waajiri wengi kwa sasa huwa wanapiga simu,akikukosa mara 2-3 imekula kwako.Pia matumizi ya reliable Post Box,Waajiri wengine hawapigi simu (hasa halmashauri) wanatuma barua kwenye box number uliyoiandika.Ishu inarudi palepale hiyo Box ni reliable kiasi gani.Hizo ni simpo basic steps lakini zinatosha kumnyima mtu kazi!
kweli we Masulupwete, kama hujui kitu uwe unakaa kimya, ajira za economics ni ngumu sana kuzipata.. mtaani kuna watu kibao wana master za economics lkn wapo bench miaka
***** tu..mtu utasomaje economics tu peke yake..uchumi halafu?? nchi yenyewe bado haijakua kiasi hicho kuweza kuaccomodate baadhi ya proffessions labda awe lecturer tu ama awe mchambuzi wa maswala ya uchumi..hao ndio wale wanaosoma kozi kwaajili ya kupata admission tu chuo sio malengo na kuangalia kama fani inalipa
U have missed a point. Kuwa economist haimaanishi ni LAZIMA ufanye kazi ya ECONOMIST TU! Kuna maeneo mengine mengi ambayo economist anafit bila tatizo. Kwa taarifa yako Economist anaweza kufanya kazi km Program/project Officer,M&E Officer,Statistician,Banker,Credit,Lecturer,Planning Officer,Consultant...na zingine chungu nzima. Sasa km huyo anayetafuta kazi ana mawazo km ya ww hiyo ni walakini nyingine!
Graduate wa chuo gani huyo?infact wahitimu wengi wa hyo fani yake huwa wanasota sana kitaa,nawafahamu weng 2 wako mtaan hadi leo!
mkuu mimi sioni kama huyo mtu ana tatizo ila sijajua wapi pana mapungufu inaweza ikawa
- anachagua mahali pa kufanya kazi mfn anataka za mjini tu na si vinginevyo
- cv anayotumia imepitwa na wakati meaning hajaifanyia updation anaitumia hiyo hiyo day in and day out
- barua zake za maombi zina mapungufu meaningi that anakuwa amefail interview ya kwanza coz kama barua yako ya maombi haieleweki mtu anaona kwamba hauna kitu cha maana hata kama una GPA ya 4.8 unakuwa umefail, nafasi zinatangazwa kila kukicha mwambie aombe tena ila asiwe na mawazo mgando na awe tayari kutaka kufanya kokote coz maisha popote, nawasilisha