Jamaa kashuka na hizi data kuwa asilimia 80% ya Watanzania wanategemea kilimo, na kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, masuala ya kilimo yamepewa kipaumbele kwenye MKUKUTA, MKURABITA, MKUMBITA na kusapotiwa na ASRP je serikali imewasaidiaje wakulima, haya ndio matokeo ya utafiti kwa wakulima
FARMERS SERVICE SATISFACTION
When asked what benefits they receive from the government, 82% of the poorest farmers replied nothing, as did 76% of the middle group and 66% of the least poor. Seventy-six percent of livestock keepers gave this answer, as did 80% of fishers.
86% of farmers had never used chemical fertiliser,
72% had never used agro-chemicals,
77% had never used improved seed varieties.
Baada ya hayo yoyote sasa umeletwa wimbo wa kilimo kwanza!.