rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Mkutano mkuu wa 2023 au 2024 walisoma labda Rage alikuwa Bwi hakuweza kuzisikia.Sio maneno yangu, ni kauli iliyotolewa na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Simba, mwenyekiti wa Simba na katibu mkuu wa TFF wakati huo ikiitwa FAT Ismail Aden Rage akihojiwa na wasafi Redio.
Anasema akiwa high table kwenye mkutano wa Simba alimwomba mweka hazina nakala ya ripoti ya Simba akamwambia aifate ofisini.
Anasema kinachosomwa mkutanoni ni taarifa ya fedha ambayo inataja mapato na matumizi na sio audited account.
Anasema aliwahi kuwauliza viongozi wa Simba kuhusu maswala ya fedha akajibiwa kila kitu kinashugulikiwa na bodi upande wa mwekezaji.
Akahoji kuhusu matangaxo yaliyojaa kwenye jezi analipa kiasi gani?
Kama taarifa zitakuwa sahihi ni wazi mo ndio atakuwa anadaiwa na Simba na sio yeye kuidai Simba.
Kawaida anayesoma taarifa ni mkaguzi wa mahesabu, Rage hakubisha kuhusu kusomwa taarifa ila alihoji wanachama kutopatiwa taarifa na kwanini mkaguzi sio msomaji wa taarifa.Mkutano mkuu wa 2023 au 2024 walisoma labda Rage alikuwa Bwi hakuweza kuzisikia.
Huyo huwa haachi chokochoko wakati wa kipindi chake tuligeuka kituko.
Kawaida anayesoma taarifa ni mkaguzi wa mahesabu, Rage hakubisha kuhusu kusomwa taarifa ila alihoji wanachama kutopatiwa taarifa na kwanini mkaguzi sio msomaji wa taarifa.
Kwa hili naungana naye.
Taarifa za mwisho kusomwa na mkaguzi ilikuwa 2018.Mbona yeye hela za Malkia Nyuki alikuwa hasomi taarifa ya Mahesabu?
Kila siku anasema kuna kipindi alisema deni limefika bilioni 85Lini Mo alisema anawadai Simba ?
Mo hajasema anawadai Simba ila anasema pesa aliyotumia kwenye Club.Kila siku anasema kuna kipindi alisema deni limefika bilioni 85
Taarifa za mo kusema anaidai Simba zipo muda mrefu, hata baada ya kufanya usajili alipeleka madai ya kutaka bodi isaini karatasi ya kuwa pesa alizotumia kwenye usajili ni deni lakini wajumbe wa bodi kupitia wanachama waligoma sababu pesa walipeana yeye na Magori bila kuwashirikisha.Mo hajasema anawadai Simba ila anasema pesa aliyotumia kwenye Club.
Nyie Simba mnataka mle hela ya mwenzenu bila yeye kupata return yoyote.
Mo siyo mzazi wa timu ya Simba ni investor malizeni mchakato wa mabadiliko kwanza ndiyo mlalamikie hesabu.
Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu.Kila siku anasema kuna kipindi alisema deni limefika bilioni 85
Wilson Oruma hawezi kuwa source kwa watu wanaofuatilia mpira
Ziko taarifa alizokuwa anatoa mwenyewe kuwa anaidai Simba ngoja nizitafute nikuwekeeWilson Oruma hawezi kuwa source kwa watu wanaofuatilia mpira
Mo mwenyewe hajawahi kutamka hili popote hata bodi hawajatoka kusema kwa wanachama kuwa Mo anadai.Taarifa za mo kusema anaidai Simba zipo muda mrefu, hata baada ya kufanya usajili alipeleka madai ya kutaka bodi isaini karatasi ya kuwa pesa alizotumia kwenye usajili ni deni lakini wajumbe wa bodi kupitia wanachama waligoma sababu pesa walipeana yeye na Magori bila kuwashirikisha.
Tutu vengeleMkutano mkuu wa 2023 au 2024 walisoma labda Rage alikuwa Bwi hakuweza kuzisikia.
Huyo huwa haachi chokochoko wakati wa kipindi chake tuligeuka kituko.
Mkutano mkuu wa 2023 au 2024 walisoma labda Rage alikuwa Bwi hakuweza kuzisikia.
Huyo huwa haachi chokochoko wakati wa kipindi chake tuligeuka kituko.
Kawaida anayesoma taarifa ni mkaguzi wa mahesabu, Rage hakubisha kuhusu kusomwa taarifa ila alihoji wanachama kutopatiwa taarifa na kwanini mkaguzi sio msomaji wa taarifa.
Kwa hili naungana naye.
Mbona yeye hela za Malkia Nyuki alikuwa hasomi taarifa ya Mahesabu?
Taarifa za mwisho kusomwa na mkaguzi ilikuwa 2018.
Unaweza kuwa sahihi kuwa hakuwahi kuleta mahesabu ya malkua wa nyuki lakini hili limeibuka baada ya mo kudai anaidai Simba mabilioni ya pesa.
Lini Mo alisema anawadai Simba ?
Mo ni tajiri mjanja mjanja sana. Msipokuwa makini anaweza kukopea mkopo wa mabilioni, kwa dhamana ya klabu.
Kila siku anasema kuna kipindi alisema deni limefika bilioni 85
Mo hajasema anawadai Simba ila anasema pesa aliyotumia kwenye Club.
Nyie Simba mnataka mle hela ya mwenzenu bila yeye kupata return yoyote.
Mo siyo mzazi wa timu ya Simba ni investor malizeni mchakato wa mabadiliko kwanza ndiyo mlalamikie hesabu.
Taarifa za mo kusema anaidai Simba zipo muda mrefu, hata baada ya kufanya usajili alipeleka madai ya kutaka bodi isaini karatasi ya kuwa pesa alizotumia kwenye usajili ni deni lakini wajumbe wa bodi kupitia wanachama waligoma sababu pesa walipeana yeye na Magori bila kuwashirikisha.
Wilson Oruma hawezi kuwa source kwa watu wanaofuatilia mpira
Ziko taarifa alizokuwa anatoa mwenyewe kuwa anaidai Simba ngoja nizitafute nikuwekee
Mo mwenyewe hajawahi kutamka hili popote hata bodi hawajatoka kusema kwa wanachama kuwa Mo anadai.
Mnachoendeleza mashabiki wa Simba ni kutaka mle pesa za Mo kama baba mzazi.
Acheni njaa malizeni mchakato wa mabadiliko
Mo ni tapeli,
Fedha zinazokusanywa kupitia milangoni, mikataba inaenda(ga) wapi mpaka mo anadai
Mangungu out!
Nimeikuta mahali hii video nikaona kijamna fulani inaendana na context ya kinachojadiliwa hapaTutu vengele