Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Tusizipe nafasi, tuitake katiba mpya, hata waliotenda uovu tuweze kuwafikia siku moja.Siasa za Kiinterahamwe.
StupidLumumba wamekuruhusu kuposti hii taarifa??
SureDamu ya Mawazo itatesa familia nyingi.
Mungu ampe pumziko la amani Kamanda Mawazo.
Jamaa aliuawa kikatili sana, mapanga mchana tena hadharani.
Mmoja wali-engineer haya makundi SAA hizi ni Waziri akijifanya mzalendo wa TaifaWaliotekeza mauaji hayo waadhibiwe na MUNGU WA MBINGUNI
Afanye TU mchezo atajikuta ni gaidi na mhujumu uchumi bila yeye kifahamu.Lumumba wamekuruhusu kuposti hii taarifa??
Your also stupidAfanye TU mchezo atajikuta ni gaidi na mhujumu uchumi bila yeye kifahamu.
you are brightest so receive my congrats for that.Your also stupid
Foolyou are brightest so receive my congrats for that.
Clever like Kamanda mchovu.Fool
mimi sio mwanachadema, ila damu ya huyu jamaa iliniuma sana, na ninaamini wauaji kama hawatatubu na Kumrudia Mungu, damu hii itaendelea kulia mikononi mwao wao na vizazi vyao. huyu jamaa hakustahili kutendewa kile alichotendewa. and I believe he was innocent, nakumbuka zile picha pale barabarani alipotelekezwa bila msaada wowote hadi kufa. kwanini lakini?Leo Novemba 14, 2021 miaka sita iliyopita tunakumbuka kifo cha Kamanda Alphonce Mawanzo aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita na Mgombea ubunge jimbo la Busanda 2015, aliyeuawa kikatili Novemba 14, 2015.
#PumzikaMawazo
#KatibaMpya https://t.co/vujb9kkABz