Miaka ya 2000 mwanzoni UKIMWI ulikuwa tishio, ule wakati ulikuwa ukipata slim unageuka kuwa kama zombi huku watu wakikuhesabia siku. Tusichukulie poa

Ndo tuombe mungu kama misaada itasitishwa tutazika wengi

Mungu tusaidie ila iyo picha imeniogopesha [emoji3064]
 
Ndo tuombe mungu kama misaada itasitishwa tutazika wengi

Mungu tusaidie ila iyo picha imeniogopesha [emoji3064]

Na wengi wa hao wengi wamejitakia wenyewe

Wachache wao mazingira yamelazimishq wafike huko
 
Kwa sasa wanakufa zaidi kuliko hata hiyo miaka 2000.
Bora kipindi kile waathirika walikuwa wanajulikana....kuliko sasa unakuta mishangazii imejazia lkn kumbe mashudu.....wote ni gridi ya taifa. gusa unase.
 
Hamna kitu kigumu kama watu kukuamini ukiwaambia ulipata ukimwi kwa njia tofauti na s3x...
 
Naona mpo kikaoni jinsi mtakavyopambana na umeme 😂
 
Hiyo hali ingeendelea kwa muda sahivi sehemu kubwa ungekuwa historia,
Matumizi ya dawa yamepelea maambukizi kuendelea kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…