Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Miaka ya karibuni kumekuwa na tabia ya wanaume wengi wa Dar kujichubua na kusingizia kuwa wanakuwa weupe kwa sababu Dar kuna joto la kung'arisha(kiuhalisia sio kweli)na wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa wamekuwa weupe kwa sababu ya kunywa maji mengi!
Wanaume wenzetu mnazidi kututia aibu sisi wanaume wenzenu
Wanaume wenzetu mnazidi kututia aibu sisi wanaume wenzenu