AustinNdyetabula
Member
- Oct 11, 2014
- 13
- 4
Hapa juzi kati, nilidownload document iliyotolewa na TCU inayoorodhesha vyuo vya Tanzania na degree zinazotolewa na vyuo hivyo. Nilichoshangaa ni kwamba ndani ya document, LLB ya UDSM ni ya miaka mitatu, na nikienda kwenye website ya UDSM, LLB ni miaka minne.
Hiyo document imekosewa au ni UDSM wamekosa nafasi ya kuupdate website yao?
Hiyo document imekosewa au ni UDSM wamekosa nafasi ya kuupdate website yao?