Miaka ya kusoma wa degree ya sheria UDSM

Joined
Oct 11, 2014
Posts
13
Reaction score
4
Hapa juzi kati, nilidownload document iliyotolewa na TCU inayoorodhesha vyuo vya Tanzania na degree zinazotolewa na vyuo hivyo. Nilichoshangaa ni kwamba ndani ya document, LLB ya UDSM ni ya miaka mitatu, na nikienda kwenye website ya UDSM, LLB ni miaka minne.

Hiyo document imekosewa au ni UDSM wamekosa nafasi ya kuupdate website yao?
 
Mh navyoelewa saivi vyuo vyote kusoma sheria ni miaka 4 kwa level ya degree, hivyo pengine hawajaziupdate hizo documents. Au kama kunawadau wanaojua zaidi watakuja wakujuze zaidi.
 
Miaka minne ndugu.
Ukitaka miaka mitatu nenda iringa university (tumaini)
 
Ni miaka minne labda low inforcement ndio miaka mitatu udsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…