Miaka yote nilijua Dkt. Stergomena Tax sio Mbongo

Miaka yote nilijua Dkt. Stergomena Tax sio Mbongo

Huyu mama nilikuwa namuona akiwa kiongozi SADC lakini miaka yote hiyo nilijuaga sio mbongo, Nimeshangaa kuona jina lake kwenye uteuzi leo.

Au sio huyu wakulungwa?
Umezaliwa mwaka gani? Miaka ya JK aliwahi kuwa Katibu Mkuu (iliyokuwa Wizara ya Afrika Mashariki baadae nadhani Viwanda na Biashara). Kisha SADC. Sasa nyie watoto wa juzi mnabaki kulalamika mbona hamteuliwi
 
Umezaliwa mwaka gani? Miaka ya JK aliwahi kuwa Katibu Mkuu (iloyokuwa Wizara ya Afrika Mashariki baada nadhani Viwanda na Biashara). Kisha SADC
Hilo jina kaka nikajuaga mtu wa uswatini huko, wengine siasa hatufatiliani tunaweza kukaa miaka hata baadhi ya mawaziri wasio maarufu tusiwajue kabisa
 
The same point of thinking,kipindi hicho akihudumu kama katibu jumuiya ya nchi za kusini mwa Afrika sikuwahi dhania pia kama ni Mtanzania,miongo mitatu ijayo tutegemee kuwa na watanzania wajulikanao as KIM JIN PING
 
Back
Top Bottom