Hapo unaamaanisha nini mkuu [emoji23]
Pole Sana kakaNGOJA YA KUKUTE UTAELEWA TU MKUU, NGOJA YA KUKUTE
(Socratic methods of teaching, learn from your ignorance)
Huyo mmeo ndo atakua hajitambui.
[emoji23][emoji23][emoji23]Pole Sana kaka
Kwan ilikuaje ?
Pole sana kabinti,miaka yote kumi hujui lililokuleta kwa mmeo?ngoja apate wa kumtosheleza nje,utakuwa huru nyumbani kwakoKuna wanaume jamani hawalizoei bumunda kabisa. Mume wangu zaidi ya miaka 10 bado nikianza kuvua nguo kuvaa.au akiniona napaka mafuta nimeinama anachanganyikiwa kabisa.
Inafikia hatua inabidi nivalie huko huko bafuni au awe sebuleni asub anapata breakfast mimi ndo nivae haraka haraka.bila hivyo anataka kulianzisha.
Huu naona ni ushamba wa mbunye.imagine kweli zaidi ya miaka 10 bado hajaizoea kabisa.kawaida wanaume wakishakaa sana kwenye ndoa huzoea mbunye za wake zao na huanza kutaka za nje.
Huyu ni shida.je tatizo ni ushamba au ameathirika kisaikolojia? Kweli jamani mi nishindwe kuwa huru nyumbani kwangu mwenyewe kwa wasiwasi wa yeye kutaka nibaka?maana kuna kipindi anataka tu hata kama sipo ready.
Kwani ulifuata nini?kwenu kulikuwa hakuna I mahali pa kujipakia mafuta?Acha uchoyo
"Le promo"
Kwako Wangari Maathai .unasemaje juu ya hili?
Basi ndio ujue ushanielewa tayar.🤣🤣🤣🤣😙...kama nakuelewa vile😉
Soma uelewe maana hii kwenye paper ipo.section BNgj nisome mkuu😋
Nakubaliana kabisa na wewe. Mama huyu anasema "kawaida wanaume wakishakaa sana kwenye ndoa huzoea mbunye za wake zao na huanza kutaka za nje". Hilo la kutafuta za nje ndiyo jambo la kunung'unikia badala ya kulisifia kwamba hiyo ndiyo kawaida. Hakuna cha ushamba kwa mumeo na kutaka eti msaada asaidiwe. Nina uhakika mzee akianza kwenda kwa mchepuo utalalamika sana. Mpe haki yake anapoiomba na hiyo ndiyo inakuza upendo kati ya wanandoa; bila kujali mmeoana miaka 10 au 50. Ile ya kuwekeana ratiba, kwa mfano Jumamosi tu saa 6 usiku sawa na mfanyakazi anayetakiwa awe kazini saa 2 asubuhi, haidumishi upendo kati ya wanandoa. Siku nyingine atakuwa na tatizo hana hamu saa mliyopanga. Utajisikia vibaya na kuanza kuwaza labda alijiridhisha kwingine na ndiyo maana haitaki yako.Leo nimeamini binadamu anahitaji miaka elfu moja kumuelewa mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitume nimalize kazi mkuu😋! Niwe mtu katiSoma uelewe maana hii kwenye paper ipo.section B
sasa si ndio vizuri?hivi huwa mnatakaga nini?Kuna wanaume jamani hawalizoei bumunda kabisa. Mume wangu zaidi ya miaka 10 bado nikianza kuvua nguo kuvaa.au akiniona napaka mafuta nimeinama anachanganyikiwa kabisa.
Inafikia hatua inabidi nivalie huko huko bafuni au awe sebuleni asub anapata breakfast mimi ndo nivae haraka haraka.bila hivyo anataka kulianzisha.
Huu naona ni ushamba wa mbunye.imagine kweli zaidi ya miaka 10 bado hajaizoea kabisa.kawaida wanaume wakishakaa sana kwenye ndoa huzoea mbunye za wake zao na huanza kutaka za nje.
Huyu ni shida.je tatizo ni ushamba au ameathirika kisaikolojia? Kweli jamani mi nishindwe kuwa huru nyumbani kwangu mwenyewe kwa wasiwasi wa yeye kutaka nibaka?maana kuna kipindi anataka tu hata kama sipo ready.
Una ubavu??!!!!usije malizwa weye chief!Nitume nimalize kazi mkuu😋! Niwe mtu kati